Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Ni MPUUZI TU anayeweza kuandika upuuzi huu ulioandika ningekuwa nafuata upepo kama MPUUZI wewe basi nisingepinga fisadi lowassa kukaribishwa Chadema.

Wewe una msimamo kwa kumuunga mkono huyo anayejiita MWENDAWAZIMU na anadhalilisha kina mama?
Toa UPUMBAVU wako hapa!
Sasa wewe hapa unaongea nini?
 

Kumbe ni mwanachama toka 2018! Hujui chochote kuhusu msimamo wangu wakati wa ujio wa fisadi lowassa Chadema ila unadai ni mfuata upepo 😂😂😂😂😂😂

Acha KUKURUPUKA na kuandika UJUHA kwa yale yaliyojiri miaka ambayo hukuwepo hapa. Mimi ba fisadi lowassa wapi na wapi!!! 😳😳😳


Unaona sasa ulivyokuwa mapepe?


Ipi tofauti kati yenu nyinyi na hao wengine?
 

Leo unamkana? [emoji16][emoji16]
 
Wewe unaingia vitani alafu unamchagulia adui yako silaha za vita, eti ccm inatumia wasanii kujaza watu ktk mikutano yao , Chadema kimewashinda nn kutumia hao wasanii
Chadema haihitaji wasanii watu wanakwenda kusikiliza madini.
 
Hahahahaha una UFINYU mkubwa sana wa akili wewe. Hivi wapi ambapo niliwahi kusupport ujio wa fisadi lowassa taahira wewe?

Kipi kilichokufanya usi support ujue wake?

Kama kweli akili zako zipo huru na zinafanya kazi,

Niambie kwanini uliukataa ujio wa Lowasa ?

Ulifanya maamuzi gani kuonyesha kutokubaliana na maamuzi ya chama chako?

Si bado upo kule kule mpaka leo,na viongozi wako si ndio wale wale?

Halafu leo hii unajaribu kuwashawishi wengine kusupport chama kile kile kilichompitisha Lowasa kuwa mgombea wao wa urais dakika za majeruhi kwa sababu eti mzungu mmoja aliwashauri hivyo?

Sasa nikikwambia kuwa wewe ni bendera fuata upepo unapanick nini?
 

Matusi hayajawahi kuwa substitute ya nguvu ya hoja na hayatakaa yawe!
 

Mimi sikwambii uache UJUHA ila nitakuonyesha jinsi ulivyo JUHA

Umeenda kuangalia nimejiunga lini JF halafu ukaja na hitimisho kuwa sina ninachokijua/nilichokijua kuhusu JF kabla ya huo mwaka,

Unafahamu kuwa mtu anaweza asiwe member ila akawa msomaji/mfuatiliaji wa mada/mijadala kibao hapa JF,
anachokikosa ni access ya uchangiaji tu

Nikikwambia nimekuwa msomaji tu wa mada hapa kwa miaka kibao kabla ya kuamua kuwa member rasmi utabisha?

Unaona sasa kwamba huo mwaka wangu wa kujiunga sio hoja?

Na UJUHA wako nao pia umeuona??
 
Maisha ya siasa ni kama maisha ndoa, kama umeolewa au umeoa utanielewa.
 
Si kwa tz hii. Uoga na unafiki umezidi.ni kweli ccm imechokwa lakini kutoka madarakani labda kije kizazi kingine si hiki
 
Your browser is not able to display this video.


Huyo ndio Mbowe na alipofikia mwaka 2020.

Watanzania wa mtaani wanaangalia maisha halisi sio haya ya Jamii Forum.

Magufuli kafanya kazi na anafanya kazi kadri ya uwezo wake.

Huwezi kumtengenezea fitina halafu zifanikiwe kirahisi tu.
 
Naona mnaweka wazi mipango yenu baada ya kushindwa uchaguzi. Tulieni mnyolewe kwa wembe mpya. Hii ndiyo CCM bhana.
 
Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini na ndiyo mnamvimbisha kichwa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.
Naona mnaweka wazi mipango yenu baada ya kushindwa uchaguzi. Tulieni mnyolewe kwa wembe mpya. Hii ndiyo CCM bhana.
 
hakika kampeni mwaka huu ni maajabu, Jiwe kapiga kampeni peke yake kwa muda wa almost miaka 5 lakini bado kwenye kampeni hizi za mwezi mmoja tu anawaogopa wenzie kinoma hadi kuamuru vyombo vyoote vya habari visiwatangaze washindani hasa TL badala yake atangazwe yeye tuu!!.

nyomi za mikutano ya ccm ni fake...watoto wengi kushangaa wasanii, kundi jingine kubwa mkutanoni limefuata pia wasanii hawana interest na hotuba za Jiwe wanasubiria mziki hata Jiwe nimepata kumsikia akikiri sehemu hii (ngojeni kdg nimalizie, najua mnapenda music)!!!.
 
Umeashaanza kukubali matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…