Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Ni MPUUZI TU anayeweza kuandika upuuzi huu ulioandika ningekuwa nafuata upepo kama MPUUZI wewe basi nisingepinga fisadi lowassa kukaribishwa Chadema.

Wewe una msimamo kwa kumuunga mkono huyo anayejiita MWENDAWAZIMU na anadhalilisha kina mama?
Toa UPUMBAVU wako hapa!

Sasa wewe hapa unaongea nini?
hivi unajijua kuwa wewe ni bendera fuata upepo?

ni dhambi kubwa kwa mwanaume kukosa misimamo,

yaani we unapelekwa pelekwa tu hao matapeli wako.

Zitto sio wa kwanza kufukuzwa,Sawa!!


je mlizingatia HAKI zake kipindi kile mnamfukuza?


Leo mnapojifanya kushirikiana na chama chake huyo huyo mliyemwita MSALITI kipindi cha nyuma mnataka watu tuwaelewe vp?


Kwamba Zitto hakuwa na makosa
Yoyote kipindi kile?


Sasa lini mlijitokeza hadharani kukiri makosa yenu kwake??


So mlimnyima HAKI yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti kwenye chama chenu bila sababu yoyote?

lini huyo mgombea wenu amejitokeza kumuomba Zitto radhi/samahani?


Unafahamu kwamba unapokiri kuwa chama kilifanya makosa kumchukua Lowasa,indirectly unasema Dk slaa na Lipumba walikuwa sahihi kwa misimamo yao kipindi kile?

Sasa kama kweli nyinyi ni waungwana na mnaijua HAKI kwa matendo ,lini mmejitokeza hadharani kuwaomba radhi hao watu??

Halafu leo hii mnajifanya kuimba ONE LOVE, mara sijui HAKI HAKI..
 

Kumbe ni mwanachama toka 2018! Hujui chochote kuhusu msimamo wangu wakati wa ujio wa fisadi lowassa Chadema ila unadai ni mfuata upepo 😂😂😂😂😂😂

Acha KUKURUPUKA na kuandika UJUHA kwa yale yaliyojiri miaka ambayo hukuwepo hapa. Mimi ba fisadi lowassa wapi na wapi!!! 😳😳😳


Unaona sasa ulivyokuwa mapepe?


Ipi tofauti kati yenu nyinyi na hao wengine?
 
Kumbe ni mwanachama toka 2018! Hujui chochote kuhusu msimamo wangu wakati wa ujio wa fisadi lowassa Chadema ila unadai ni mfuata upepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha KUKURUPUKA na kuandika UJUHA kwa yale yaliyojiri miaka ambayo hukuwepo hapa. Mimi ba fisadi lowassa wapi na wapi!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Leo unamkana? [emoji16][emoji16]
 
Wewe unaingia vitani alafu unamchagulia adui yako silaha za vita, eti ccm inatumia wasanii kujaza watu ktk mikutano yao , Chadema kimewashinda nn kutumia hao wasanii
Chadema haihitaji wasanii watu wanakwenda kusikiliza madini.
 
Hahahahaha una UFINYU mkubwa sana wa akili wewe. Hivi wapi ambapo niliwahi kusupport ujio wa fisadi lowassa taahira wewe?

Kipi kilichokufanya usi support ujue wake?

Kama kweli akili zako zipo huru na zinafanya kazi,

Niambie kwanini uliukataa ujio wa Lowasa ?

Ulifanya maamuzi gani kuonyesha kutokubaliana na maamuzi ya chama chako?

Si bado upo kule kule mpaka leo,na viongozi wako si ndio wale wale?

Halafu leo hii unajaribu kuwashawishi wengine kusupport chama kile kile kilichompitisha Lowasa kuwa mgombea wao wa urais dakika za majeruhi kwa sababu eti mzungu mmoja aliwashauri hivyo?

Sasa nikikwambia kuwa wewe ni bendera fuata upepo unapanick nini?
 
Ni MPUUZI TU anayeweza kuandika upuuzi huu ulioandika ningekuwa nafuata upepo kama MPUUZI wewe basi nisingepinga fisadi lowassa kukaribishwa Chadema.

Wewe una msimamo kwa kumuunga mkono huyo anayejiita MWENDAWAZIMU na anadhalilisha kina mama?
Toa UPUMBAVU wako hapa!

Sasa wewe hapa unaongea nini?


Matusi hayajawahi kuwa substitute ya nguvu ya hoja na hayatakaa yawe!
 
Kumbe ni mwanachama toka 2018! Hujui chochote kuhusu msimamo wangu wakati wa ujio wa fisadi lowassa Chadema ila unadai ni mfuata upepo 😂😂😂😂😂😂

Acha KUKURUPUKA na kuandika UJUHA kwa yale yaliyojiri miaka ambayo hukuwepo hapa. Mimi ba fisadi lowassa wapi na wapi!!! 😳😳😳

Mimi sikwambii uache UJUHA ila nitakuonyesha jinsi ulivyo JUHA

Umeenda kuangalia nimejiunga lini JF halafu ukaja na hitimisho kuwa sina ninachokijua/nilichokijua kuhusu JF kabla ya huo mwaka,

Unafahamu kuwa mtu anaweza asiwe member ila akawa msomaji/mfuatiliaji wa mada/mijadala kibao hapa JF,
anachokikosa ni access ya uchangiaji tu

Nikikwambia nimekuwa msomaji tu wa mada hapa kwa miaka kibao kabla ya kuamua kuwa member rasmi utabisha?

Unaona sasa kwamba huo mwaka wangu wa kujiunga sio hoja?

Na UJUHA wako nao pia umeuona??
 
Hebu tuambie ni haki gani unayoizungumzia wewe leo hii?

Haki ya kumfukuza Zitto Kabwe kwenye chama kwa majina yote mabaya na huyo mgombea wenu akiwa magari wa mbele kwenye kuhakikisha hilo??lakini leo hii Zitto kwenu anafaa sababu tu anatimiza matakwa yenu,hivi ni nani mbinafsi hapo??

Haki ya kumchafua na kumtukana Lowasa kwa miaka kibao then ghafla bin vuu kwa tamaa zenu za madaraka mkataka, awe Rais kupitia chama chenu,na wale wote waliopingana na nyinyi kwenye hilo wanageuka kuwa wabaya wengi akiwemo Dk slaa
Maisha ya siasa ni kama maisha ndoa, kama umeolewa au umeoa utanielewa.
 
Haki kwao imekuwa kitu adimu sana. Wanatulazimisha kuwa tunawapenda.

Uchaguzi ulio huru wa haki wala wenye kuaminika haupo.

1. Tutajihimu vituoni.
2. Hakuna kura hadi tujiridhishe kuwa mawakala wetu wapo kamili gado.
3. Tutapiga kura.
4. Tukimaliza kupiga kura hatuondoki.
5. Matokeo mtatutangazia vituoni.

Walizoea kupiga? Sawa. Karibuni. JKNIA mlipenda twende?

Basi JKNIA kwa hili ilikuwa cha mtoto.
Si kwa tz hii. Uoga na unafiki umezidi.ni kweli ccm imechokwa lakini kutoka madarakani labda kije kizazi kingine si hiki
 


Huyo ndio Mbowe na alipofikia mwaka 2020.

Watanzania wa mtaani wanaangalia maisha halisi sio haya ya Jamii Forum.

Magufuli kafanya kazi na anafanya kazi kadri ya uwezo wake.

Huwezi kumtengenezea fitina halafu zifanikiwe kirahisi tu.
 
Kama ni ushindi basi utakuwa ni ushindi haramu ambao unaweza kuhusisha umwagaji mkubwa sana wa damu ambao unaweza kusababisha vifo vingi. Hilo likitokea Watanzania tunaojitambua na Jumuiya ya Kimataifa tutamshinikiza huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa mauaji ya kutisha aliyoyafanya hastahili kubaki madarakani. Serikali ya maridhiano itastahili kuundwa ambayo itasimamia upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi.
Naona mnaweka wazi mipango yenu baada ya kushindwa uchaguzi. Tulieni mnyolewe kwa wembe mpya. Hii ndiyo CCM bhana.
 
Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini na ndiyo mnamvimbisha kichwa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.
Naona mnaweka wazi mipango yenu baada ya kushindwa uchaguzi. Tulieni mnyolewe kwa wembe mpya. Hii ndiyo CCM bhana.
 
hakika kampeni mwaka huu ni maajabu, Jiwe kapiga kampeni peke yake kwa muda wa almost miaka 5 lakini bado kwenye kampeni hizi za mwezi mmoja tu anawaogopa wenzie kinoma hadi kuamuru vyombo vyoote vya habari visiwatangaze washindani hasa TL badala yake atangazwe yeye tuu!!.

nyomi za mikutano ya ccm ni fake...watoto wengi kushangaa wasanii, kundi jingine kubwa mkutanoni limefuata pia wasanii hawana interest na hotuba za Jiwe wanasubiria mziki hata Jiwe nimepata kumsikia akikiri sehemu hii (ngojeni kdg nimalizie, najua mnapenda music)!!!.
 
Umeashaanza kukubali matokeo
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.

Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.

Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.

Hivi ni kwanini tulazimishane!
 
Back
Top Bottom