Uchaguzi 2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

Kwenye awamu hii ya tano tumeshuhudia yafuatayo

1. Maiti za watanzania wenzentu zikiokotwo ufukweni mwa bahari baada ya kuuawa na wasiojulikana
2. Wasanii walio onesha mawazo tofauti juu ya serikali wakitekwa na kuumizwa
3. Ndugu zetu wakibamkiwa kesi za money laundering
4. Waandishi wa habari wakiwa abducted na kukatizwa uai wao
5. Mhakama zetu zikigeuzwa kangaroo court
6.Mwanasiasa mpinzani akipigwa risasi in broad day light
7.Deni la taifa likuongezeka kwa kasi kubwa
8. Wafanyakazi wa umma kuto ongezwa mishahara
9. Watu wakifukuzwa hovyo kazi bila kupewa natural justice ya right to be heard
10. Na mengineyo mengi.

We are sick and tired of this sadist and myopic leader. Miaka yake mitano aliyofanya inatosha.
 
Hujui usemalo wala ujualo wewe....

Mimi naandika haya nikiwa usukumani na unyamwezini. Kila kitu ni red right kwa Magufuli huku..m
Wewe mwongo you can not in two places at the same time
 
Hivi inaruhusiwa kuanza kampeni kabla ya uteuzi rasmi wa tume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…