Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Haina uwezo huo wa kugharamia Tanzania nzimaHapo zinatumika pesa za CCM kugharimia kampeni za Chama jamani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina uwezo huo wa kugharamia Tanzania nzimaHapo zinatumika pesa za CCM kugharimia kampeni za Chama jamani!
Yake Magoti yalikuwa ya niniMagufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Acha ubazazi weye.
Watanzania hawali Bombadier, hawali Flyover, hawali SGR wala hawali Stieglers Gorge.
Watanzania wanataka MAENDELEI YAO NA SI maendeleo ya VITU!
Natilia shaka sana kama unanielewa!!!.
Bwashee tuko Zanzibar tunamsambaratisha maalim Seif!Comrade johnthebaptist rejeta imevuja tayari
Akili wanazo sema wanaamua 'kujipaka upupu' tu!Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Mkuu kuna maendeleo ya watu bila kuwa na maendeleo ya vitu? Naomba tudiscus kwa hoja ili tuelemishane kidogo
mtarimbo wa Seif umekuganda wewe na mataga wenzako hapo mpo hoi.Bwashee tuko Zanzibar tunamsambaratisha maalim Seif!
Nabado mnamuita eti dikteta ata aibu hamuoni.Rais anaomba urais maajabu haya
labda kama amekufanyia ww na mmeo...wengine hatujafanyiwa na kamwe hatuwezi kukubali ujinga huo!.Magufuli hakuwa ata na aja ya kufanya kampeni. Arichokifanya watanzania wamekiona.
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Sumaye alisema moyo wa jamaa valve hazichomi vizuri,yeye akiwa pm alimpa ruhusa akatibiwe ujerumani kwa gharama ya serikali ya ben.....yani jamaa ni gari la mkaa model ya bedford[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania
Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane
Something is wrong somewhere.
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!
Muda ni mchacheAna assignments kibao. Kuna ile report ya Congress ya Marekani. Kuna report za Tanzania Elections Watch. Kuna watu pia inabidi awagombeze kwa kushindwa kazi alizowapa🤣🤣. Kuna vikao na ma DED. Yaani mambo ni meeeengiiiiii...
Hazuiliki huyu wanapoteza muda tuOgopa Sana mtu anayejua na KUSIMAMIA sheria lakini pia haogopi vitisho vya Polisi!
Mtu ambaye "kutema mayai" kwake siyo issue!
***"kutema mayai"= kuongea KIINGEREZA saafi na Foreigners!
Kesho yupo Zanzibar kwa kampeni!Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
Ndiyo maana wameamua kumfungiz Lissu ili kampeni zisimame ..... Break ya kwanza aliifanya Chato, ile ndiyo ilijumpstart Kampeni za Lissu. Ile ya pili Dodoma ndiyo ilimpaisha Lissu ..... sasa waliona Mzee kachoka na kaishiwa pumzi. Wakimuachia Lissu siku 9 zote ateme madini then everything will be turned around ......!Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.