Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

Acha ubazazi weye.
Watanzania hawali Bombadier, hawali Flyover, hawali SGR wala hawali Stieglers Gorge.
Watanzania wanataka MAENDELEI YAO NA SI maendeleo ya VITU!
Natilia shaka sana kama unanielewa!!!.

Mkuu kuna maendeleo ya watu bila kuwa na maendeleo ya vitu? Naomba tudiscus kwa hoja ili tuelemishane kidogo
 
Mkuu kuna maendeleo ya watu bila kuwa na maendeleo ya vitu? Naomba tudiscus kwa hoja ili tuelemishane kidogo

Kama huwezi kutofautisha Kati ya maendeleo ya VITU na WATU hakuna haja ya discussion!! Hebu msikie Mzee wa Busara labda utaelimika japo kidogo.
DEVELOPMENT MUST BE PEOPLE' S CENTRED NA
WATU LAZIMA WAWE HURU NDANI YA NJI YAO NA HIYO NDIYO MAANA YA MAENDELEO. NJE YA HAPO NI MANENO TU!!!!
 
Alipokuwa Tunduma inaelekea alikasirika sana, sasa mipresha ikapanda, na kadhalika hata akawa hawezi tena. Basi ikabidi wasaidizi wake watumie ujasiri kumweleza mzee kuwa hapa ukijifanya kuleta ujuaji utajua hujui. Utadondoka. La msingi uchukue mapumziko ya wiki nzima. hapo kawa hana ujanja zaidi ya kukubali, maana wangemwacha mikutano miwili tu watu wangebeba. Na hapo ujue kuwa hataruhusiwa kufuatiia kampeni za Lissu. Ataletewa tu kilichochujwa ameze
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.

@ChademaTz
#Uchaguzi2020
 
Magu kachanganyikiwa baada ya kusikia wanaume anaowategemea kumkingia kifua hapo jana.
Anarudi Dar kuweka Mambo sawa.
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

IMG_20200924_231228.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] 2015 walikua wanasema hawapeleki mgonjwa ikulu sasa safari hii sijui wana nini cha kuwaambia Watanzania

Utoke kwenye mapumziko ya siku tano ufanye kazi siku tatu upumzike siku nane

Something is wrong somewhere.
Sumaye alisema moyo wa jamaa valve hazichomi vizuri,yeye akiwa pm alimpa ruhusa akatibiwe ujerumani kwa gharama ya serikali ya ben.....yani jamaa ni gari la mkaa model ya bedford
 
Ambacho umesahau jpm bado ni rais hivyo anamajukumu nje ya kampeni!

Katiba MBOVU KABISA ya JMT.

Tunataka KATIBA MPYA:-

Wakati wa KAMPENI "kipindi cha mpito" Kama rais (aliye madarakani) ni mmojawapo wa Wagombea nafasi ya URAIS, hivyo basi Rais Huyo atakabidhi madaraka ya URAIS kwa MTU atakaye tajwa na KATIBA kwamba ndiye atakaye ongoza nchi hadi kutangaza kwa Rais aliyeshinda katika uchaguzi husika.
 
Ogopa Sana mtu anayejua na KUSIMAMIA sheria lakini pia haogopi vitisho vya Polisi!
Mtu ambaye "kutema mayai" kwake siyo issue!
***"kutema mayai"= kuongea KIINGEREZA saafi na Foreigners!
Hazuiliki huyu wanapoteza muda tu
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Kesho yupo Zanzibar kwa kampeni!
Pole mkuu
 
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.

Ndiyo maana wameamua kumfungiz Lissu ili kampeni zisimame ..... Break ya kwanza aliifanya Chato, ile ndiyo ilijumpstart Kampeni za Lissu. Ile ya pili Dodoma ndiyo ilimpaisha Lissu ..... sasa waliona Mzee kachoka na kaishiwa pumzi. Wakimuachia Lissu siku 9 zote ateme madini then everything will be turned around ......!
 
Back
Top Bottom