imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Risasi16 za upendo Only in TanzaniaNgoja tuone...... Siasa siyo Uadui!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Risasi16 za upendo Only in TanzaniaNgoja tuone...... Siasa siyo Uadui!
Mungu aibariki Arusha na awabariki wana Arusha
Tunawapenda sana..
Wamemchoka, hawajaongezewa mishahara, Ila haohao ukiwaambia waache kazi, ili mwenye njaa mtaani waingie wapige kazi kwa huohuo mishahara ambao wao wanaunung'unikia.Hakuna hata mmoja anaeweza kukubali.😂😂meko kalagabaho watu walishamchoka hawaongezewi mshahara,watu wanamtaka lisu
Wananchi wanajiuliza waende relini au sheikh amri abeid!
Kuna lipi jipya zaidi ya kuwa anaishi kwa damu ya wakenya!
It is not about who (TL), it is about giving and exercising the power of the people to decide.Chadema inaonekana kama kagenge flan ka wahalifu , waendelee Tu kumpa pressure JPM ili atambue wajibu wa kuwa kiongozi wa juu wa nchi cse still mwamba ni far better, ila kumpa uraisi TL itakuwa mistake ya Karne and should fill it with a terrible resolve
wengi wanaosema hawana vyama ukiwachunguza vizuri utakuta si wazimaWa nani? Wasikiliza sera na watu wa amani sis aka hatuna vyama!
wengi wanaosema hawana vyama ukiwachunguza vizuri utakuta si wazima
WEKENI PICHA AU VIDEO BASIUwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?