Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

meko kalagabaho watu walishamchoka hawaongezewi mshahara,watu wanamtaka lisu
Wamemchoka, hawajaongezewa mishahara, Ila haohao ukiwaambia waache kazi, ili mwenye njaa mtaani waingie wapige kazi kwa huohuo mishahara ambao wao wanaunung'unikia.Hakuna hata mmoja anaeweza kukubali.😂😂
 
Wananchi wanajiuliza waende relini au sheikh amri abeid!
 
muwe mnatuma na picha na video za tukio bhasi
 
It is not about who (TL), it is about giving and exercising the power of the people to decide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…