Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini


Hilo tatizo usilaumu Morogora tuu hata huku Kilimanjaro upepo imebadilika, haya ndio maneno ya kweli vinginevyo ni uwongo.

Tundu Lissu upepo wake haujavuma saana huku, ngoma inayochezwa ni ya Magufuli tuu kwa wabunge vile hali sio swari. Mimi mtanichukia sana lakini ndio nawaambia ukweli wengine hawataki kusema kweli.

MRUDI IFANYWE KAMPENI YA KWELI NYUMBA INAUNGUA. TUMETAFUTA MILLION 7 MWANGA , IMEKUWA SHIDA NA HAIJAFIKA AU KUTIMIA. TUMETAFUTA MILION 9 USWAA MACHAME MPAKA SASA HIVI HAIJATIMIA WATU WAMEKUWA WAGUMU MNNO. UCHAGUZI MGUMU MNOOO.
 
Wee jinga Sana huijui morogoro, ni mji umejengeka Sana na una kila kitu kuanzia miundombinu Hadi huduma za kijamii ipo vizuri. Ila wewe pingapinga Fc lazima upinge.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kapicha kakusindikiza Mkuu.. Kwa sisi tulio masokoroni huku
 
Wee jinga Sana huijui morogoro, ni mji umejengeka Sana na una kila kitu kuanzia miundombinu Hadi huduma za kijamii ipo vizuri. Ila wewe pingapinga Fc lazima upinge.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wajinga kama wewe wakisikia neno Morogoro wanawaza jimbo Abood.

Hawajui hata Malinyi kwenye vumbi la kufa mtu ni sehemu ya morogoro.
 
Andamaneni watalii wanahamia chatto Burigi ngoja korona iishe, arusha itakuwa Kama ujiji
 
Mkuu watu wanajifanya wasahaulifu kuhusu uadui mkubwa alioujenga huyo jamaa ndani ya miaka mitano tu.
Mwenye uaduni ni wewe na wenzako, sisi wengine hatuna muda wa wanasiasa waongo tupu
 
Mara hii umehamia Chadema hahahaa karibu kamanda vua hiyo bukta ya CCM iliyopakwa Vaseline
Wewe pia ni kidagaa tu hapo chadema,

Hizo picha nmekuonesha wenye chadema yao ilivyokuwa na walishaondoka baada ya mwamba kuuza chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…