Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Angalia picha mojawapo hapo, Lissu akiona mtu mweupe anachanganyikiwa! Mwangalie! ingekuwa zamani kidogo ange mkingia mgongo ambebe huyo mzungu!
Hamuoni mzungu kama ni mtu wa kawaida! Slavery mind!
 
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja anatuambia hali za maisha ya watu zimeimarika.
Umefunga kazi kwa leo! Nimependa statement yako! nadhani Lisu aiseme siku moja, uone watu watakavyolipuka kwa shangwe ya majonzi kukosa elfu tano!
 
Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
HOTUBA YA TUNDU LISSU ARUSHA:
1. Lissu kazungumzia ugumu wa maisha ya mfanyakazi na jinsi atakavyoyaboresha kwa kulipa malimbikizo yote wanayodai na kuwalipa nyongeza zao za mishahara za kisheria(annual increments)

2. Amezungumzia uonevu wanaofanyiwa wafanyabiashara wetu na kwamba ataundoa

3. Amezungumzia kuhusu elimu bora na siyo bora elimu, amezungumzia kuhusu elimu ya ujuzi wa kazi siyo ya kukariri

4. Amezungumzia kuhusu viwanda na kuvutia mitaji ili kutoa ajira kwa vijana wetu

5. Amzezungumzia kuhusu diplomasia yetu iliyoshuka na jinsi atakavyorudisha mahusiano bora ya kimataifa

6. Amezungumzia bima ya afya kwelikweli siyo hii ambayo wazee wetu wakishastaafu wanaambiwa waongeze hela ili waweze kuwekwa kwenye bima ya magonjwa nyemelezi ya wazee

7. Amezungumzia kuhusu kuirejesha Arusha kuwa kitovu cha utalii

8. Amezungumzia kuhusu katiba mpya, ameonyesha ubovu wa katiba ya sasa ambayo imelinyima hata bunge uwezo wa kuanzisha hoja ya namna ya kutumia pesa za nchi isipokuwa tu kama hoja hiyo imeanzishwa na serikali.

9.Amezungumza kuhusu haki za watu, ametetea masheikh walio jela kinyume cha sheria, kwa mfano amesema Arusha peke yake kuna Masheikh 70 wako jela achilia mbali wale masheikh wa uamsho.

10. Amezungumzia kuvunjia wananchi nyumba kikatili etc

11. Kszungumzia mzigo mzito wa makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu na amesema atashusha makato hayo kwa mwezi kutoka 15% hadi 3% ya mshahara kwa mwezi

12. Amezungumzia kuhusu adha za vitambulisho vya kimagumashi vya wamachinga amesema ataondoa mzingo wa shilingi 20000 ya kitambulisho cha wamachinga pesa iliyoanzishwa na Bashite na Magufuli

13. Amesema ataanzisha sheria ya haki ya mlipa kodi "Bill of taxpayers rights" ili waweze kulindwa kisheria badala ya utaratibu wa sasa ambao wafanyabiashara wanaonewa sana na TRA na hawana pa kukimbilia, kila wanapokimbilia wameshafungwa minyororo

14. Amezungumzia kuhusu uhuru wa habari, kuwa ataondoa sheria kandamizi zilizotungwa na Magufuli kumlinda yeye badala ya kusaidia taaluma kukua

15. Amesema ataomesha matumizi ya hovyo ya pesa za serikali, siyo rais akiamka asubuhi anajenga uwanja wa ndege kijijini kwake ambapo ndege inatua mara mbili kwa mwaka siku anayoenda kula Christmass na pasaka

16. Lissu anazungumzia kuhusu UHURU, HAKI, MAENDELEO
 
Sisi wanalumumba hatuwezi kukubali hizi picha hapa itakuwa ni editing Tu imetumika...
Tunamuomba mwenyekiti wetu azuie campaign Kwa muda angalau machozi yaishe
Kama wazalendo maslahi wamekuwa wakuwa wakimpotosha mwenyekiti kwa maslahi yao wajiandae kuwajibika kwa kumpotosha.
 
Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!

CCM wanakampeni au matamasha ya miziki na makongamano ya wasanii, yani mpaka Asha Boko safari hii mmemkumbuka😁😀😀😀
 
I think weakness ya Magufuli ni Mandege, I really though he is done with mandege this term, and will invest in people next term, the fact that he mentioned he will buy more ndeges in the next term, makes you think other things that have impact direct on his people are not priority to him, upinzani tumieni simple language wananchi waelewe hili

Its very easy to read his psychology. Big man is very frustrated!
 
Picha za chini ni sahihi kabisa kulikuwa na mapengo mengi sana kama yalivyo na uvaaji ni huo ila ya juu ni uwongo angalia angle utajua kuwa umedanganya .
 
Na hilo ndio kosa kubwa mnafanya, dharau na kejeli kwa wengine, lkn mnasahau kwamba Wachaga hawawezi kutoa raisi wa Tanzania hata wakiipigia kura chadema 100%, hivyo hamuisaidii chadema kwani hao wa Morogoro mnaowakejeli na kuwadharau watawaadhibu kwenye sanduku la kura na kuishia kulia kuibiwa kura.

Low IQ!

Back
Top Bottom