Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Mgonjwa mwenyewe mbona hata simuoni?Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
.MAGUFULI4LIFE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa mwenyewe mbona hata simuoni?Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Angalia picha mojawapo hapo, Lissu akiona mtu mweupe anachanganyikiwa! Mwangalie! ingekuwa zamani kidogo ange mkingia mgongo ambebe huyo mzungu!Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
View attachment 1553923
UPDATES :
View attachment 1554103View attachment 1554104View attachment 1554105
View attachment 1554315
UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Umefunga kazi kwa leo! Nimependa statement yako! nadhani Lisu aiseme siku moja, uone watu watakavyolipuka kwa shangwe ya majonzi kukosa elfu tano!Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme
WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!
Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!
Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu
Anatokea mjinga mmoja anatuambia hali za maisha ya watu zimeimarika.
HOTUBA YA TUNDU LISSU ARUSHA:Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
kwaiyo ulitaka wazinunue?Hizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lema
Picha ya juu ni ya uwongo wote tumeshuhudia.Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Ukitaka kujiumbua tuma video.Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
....nyie raia bhana...😂😂😂Nasikia Simba na Yanga watacheza bila bukta ili watu waondoke kwenye Mkutano wa Lissu?
Kama wazalendo maslahi wamekuwa wakuwa wakimpotosha mwenyekiti kwa maslahi yao wajiandae kuwajibika kwa kumpotosha.Sisi wanalumumba hatuwezi kukubali hizi picha hapa itakuwa ni editing Tu imetumika...
Tunamuomba mwenyekiti wetu azuie campaign Kwa muda angalau machozi yaishe
Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!
I think weakness ya Magufuli ni Mandege, I really though he is done with mandege this term, and will invest in people next term, the fact that he mentioned he will buy more ndeges in the next term, makes you think other things that have impact direct on his people are not priority to him, upinzani tumieni simple language wananchi waelewe hili
!
!
Watakuja na sheria mpya kwamba drone moja isajiliwe kwa mtu mmoja hakuna kuazimana.
Post zote za leo unazidiss tuUtopolo tupu. Watu wachache kweli
Hivi hilo la wasanii mwitu wa arusha lilifanyika viwanja gani??na pia kulikuwa na tamasha la mziki et la wasanii wa arusha,leo wamekumbukwa baada ya miaka tele
HOTUBA YA TUNDU LISSU ARUSHA:Na hilo ndio kosa kubwa mnafanya, dharau na kejeli kwa wengine, lkn mnasahau kwamba Wachaga hawawezi kutoa raisi wa Tanzania hata wakiipigia kura chadema 100%, hivyo hamuisaidii chadema kwani hao wa Morogoro mnaowakejeli na kuwadharau watawaadhibu kwenye sanduku la kura na kuishia kulia kuibiwa kura.
Low IQ!