Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Na hapo hakuna cha lori au punda!
Acha kudanganya watu Kobe wewe, hili Ni Basi siyo
tapatalk_1598781174852.jpg
tapatalk_1598781161663.jpg
 
Pamoja na figisufigisu za kukata Umeme naeneo Yale Leo,mambo yaliendelea poa kabisa..
 
yaani mnaweka video za watu wanatafuta magari waondoke 😂😂😂 tafuta wakati Lissu anaongea uone. Niwape siri ndogo nimekulia Arusha. Arusha ni mjini ni mji wa wachagga ukileta mtu mwingine bila kupata support ya wachagga pale ni bure!
 
Wakuu kwanini sioni picha kabisa za drones? Why?

Chadema mnaogopa nini?
 
Watu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
Pale dodoma isingekuwa zuchu uwanja ungekuwa mweupe. Unajiuliza wamefuata muziki au sera za Ccm.zilizoliingiza taifa kwenye ufukara wa kutisha mpaka leo
 
Tatizo hao wavuta bange hawajajiandikisha.
Kura za chadema kwa taarifa yako zimatoka kwa waccm.Jiandikisheni woote,kura zinaenda CDM pambafu.ccm ndio wanaoongoza kuisoma namba.
 
Arusha ccm hata isijisumbue hawapati kitu siyo ubunge hata uraisi.
 
Ukiona matokeo ya hivyo just huyo Lena anaaminika na Wana Arusha kwa kuwa na uzalendo halisi,ukilinganisha na wengine.
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
 
yaani mnaweka video za watu wanatafuta magari waondoke 😂😂😂 tafuta wakati Lissu anaongea uone. Niwape siri ndogo nimekulia Arusha. Arusha ni mjini ni mji wa wachagga ukileta mtu mwingine bila kupata support ya wachagga pale ni bure!
Kwa hiyo ni wakabila,
Mnatupandisha behewa la ukabila,
Sasa nimeelewa kwa nini wagombea ubunge wa chadema dar almost wote ni wa kaskazini
 
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji

Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Bwaaaahahahahaaaaaaa! Hilooooo hilooooo hilooo mwaka huu haki ya nani bila kujamba cheche mimi sitawaelewa!!
 
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke
Lakini kwa vigezo ,so kwa kupora haki,hapo ndipo Mambo yanavyozidi kuharibika kwa upande Fulani.
 
Back
Top Bottom