Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudanganya watu Kobe wewe, hili Ni Basi siyoNa hapo hakuna cha lori au punda!
Una habari hawa watu hata elfu 5 hawafikiSalamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Pale dodoma isingekuwa zuchu uwanja ungekuwa mweupe. Unajiuliza wamefuata muziki au sera za Ccm.zilizoliingiza taifa kwenye ufukara wa kutisha mpaka leoWatu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
Sawa!Pale dodoma isingekuwa zuchu uwanja ungekuwa mweupe. Unajiuliza wamefuata muziki au sera za Ccm.zilizoliingiza taifa kwenye ufukara wa kutisha mpaka leo
Kura za chadema kwa taarifa yako zimatoka kwa waccm.Jiandikisheni woote,kura zinaenda CDM pambafu.ccm ndio wanaoongoza kuisoma namba.Tatizo hao wavuta bange hawajajiandikisha.
Kwa vile cdm hawana hela hiyo itakuwa photoshop umetengeneza mwenyeweAcha kudanganya watu Kobe wewe, hili Ni Basi siyoView attachment 1554515View attachment 1554516
Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondokeUkiona matokeo ya hivyo just huyo Lena anaaminika na Wana Arusha kwa kuwa na uzalendo halisi,ukilinganisha na wengine.
Pole sana.iruhusu iingie japo inaumaaHizo picha ni uongo. Ukiingia YouTube channel ya SAUTI KUU TV, wanaonesha live watu ni wachache mno
Kwa hiyo ni wakabila,yaani mnaweka video za watu wanatafuta magari waondoke 😂😂😂 tafuta wakati Lissu anaongea uone. Niwape siri ndogo nimekulia Arusha. Arusha ni mjini ni mji wa wachagga ukileta mtu mwingine bila kupata support ya wachagga pale ni bure!
Bwaaaahahahahaaaaaaa! Hilooooo hilooooo hilooo mwaka huu haki ya nani bila kujamba cheche mimi sitawaelewa!!Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Lakini kwa vigezo ,so kwa kupora haki,hapo ndipo Mambo yanavyozidi kuharibika kwa upande Fulani.Lema Sio mzawa wa Arusha Ni mkoloni kaja kutawala Wana Arusha kutoka Kilimanjaro Kama Sugu alivyo mkoloni mbeya kutawala wana Mbeya lazima waondoke