Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Sintoshangaa kusikia Samia Suluhu anacheza Rusha roho huku kajifunga khanga moko ili watu wajazane kumshangaa ili Magufuli afikiri anapendwa yeye
Huenda huyu mama ni Mtani wako, ila huyu mama anajiheshimu sana unamvunjia heshima yake. Ila huo ndio huru unadaiwa na wengi
 
Kwanza Nilishaawambiwa Kubeba watu no Kampeni Tosha Huwezi kumbeba MTU Asie kukubali Yanini Mimi Leo waje CHADEMA waje na Vogue kunibeba sitakubali Kwa sababu hawanishawishi kwa chochote SO WANAOBEBWA WANAMAPENZI NA CCM NA hakuna ilipokatazwa Pili DAR Nilikuwepi Kampeni za 2015 Kama Unamoyo Wa kusema ukweli Sema je Mwitikio Wa Dar kwenye ufunguzi ni dhahili hakuwa Wa ushawishi kwa chama kama Chadema Pili MSIKATAE MMENDA ARUSHA KUPIGA PICHA JAPO WAFADHILI WAWAELEWE KUWA NA NYIE MPO LEO AFADHALI ILA DAR MIKUTANO ILIKUWA YA KIBUNGE NA SIO PRESIDENTIAL
 
Idadi kwa sasa ni nzuri sema watu wapo pembeni ya uwanja kuna kajua....
CHADEMA bwana eti hadi leo wanashangilia idadi ya watu wanasahau kwamba ni kawaida watu kushangaa miujiza ya mtu aliye pigwa risasi za kutosha na bado yupo hai hivyo wanakwenda kushuhudia mtu huyo

Na kwa taarifa tu katika idadi hiyo ya watu walio kuja kumshangaa LISSU wengi wao sio wapiga kura na hawana sifa za kupiga kura kwa sababu wengi wao hawajajiandikisha kabisa na wengine ni wahamiaji
 
Angalia picha mojawapo hapo, Lissu akiona mtu mweupe anachanganyikiwa! Mwangalie! ingekuwa zamani kidogo ange mkingia mgongo ambebe huyo mzungu!
Hamuoni mzungu kama ni mtu wa kawaida! Slavery mind!

You're talking non-sense you CCM henchman...!!!!
 
 
Wewe pia ni kidagaa tu hapo chadema,

Hizo picha nmekuonesha wenye chadema yao ilivyokuwa na walishaondoka baada ya mwamba kuuza chama
Hivi hujaingia huko twitani ukaone jiji la arusha linavyorindima

Wakati mechi yenu ya mpira imedoda labda mungeleta wasanii wa ngono zembe angalao tungemuona Ali Kiba anavyonyonya wema sepetu japo burudani ingepatikana kidogo
 
Wewe hauoni kama hiyo ni lift ndo mana unaona fuso lipo moja tu kuna mwamba kakutana na makamanda wanaenda kwenye mikutano akawachkua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....haya kamanda.
 
Hivi hilo la wasanii mwitu wa arusha lilifanyika viwanja gani??
kilosaaa edgar ndomino,spark dawg stopa ghost ndeziii na wa mwituni wengine alaf ikabuma sasa,wana vimavi atari uyo dc angejua aina ya watu anaojihusisha nao iyo kibunda angeenda toa kwa yatima na wamama wajane tu apate ata thawabu
 

There are many reasons we would be wrong to expect Chadema to win this election, its a wrong expectations, however. First, the electorate is not entirely stable.

Each generation of voters ( 1995-2015 one generation) has been a bit different from the last (1975- 1995 one generation).

It sometimes happens that over a series of elections, parties may be unable or unwilling to adapt their positions to broader socio-demographic or economic forces. Parties need to be aware of when society changes.

If leaders refuse to recognize that public opinion has changed, the party is unlikely to win in the next election. Groups that have felt that the party has served their causes in the past may decide to look elsewhere if they feel their needs are no longer being met.

Either way, the CHADEMA party system have been upended as a result of a party realignment, or shifting of party allegiances within the electorate
 

Wakati hayo yakitokea kulikuwa na siasa za kishenzi kama sasa? Siasa zilikuwa zinafanywa na rais na genge lake tu. Bunge lilikuwa gizani kama sasa, mahakama zilikuwa kibogoyo kama sasa, wakati huo risasi zilikuwa sehemu ya siasa? Wakati huo kulikuwa na midahalo na mijadala kwenye TV, Sasa hivi umeona mdahalo wowote kwenye TV? Kweli Magufuli kaharibu siasa za nchi hii, badala ya watu kujadili ilani, watu wanajadili nyomi na inaonekana ni sawa tu. Yaani ni bonge ya aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…