Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Picha tafadhali makamanda!
Maana Lisu alisema tuwe tunaanza na maandamano
 
Hilo ni basi?
[emoji116]
FB_IMG_1598816700559.jpg
 
Watu wa chuga nimewakubali kwamba mkutano wa Chadema ni bora kuliko mechi ya simba naona uwanja mweupe. Huu ni mwanzo tu kama ni kura basi CCM wajitahidi sana sana kuziiba
 
Aisee kwani kuna nini kinaendelea hapo wakuu.
 
Nimeona millard ayo ambaye ameshakata matangazo sasahivi. . Leo kuna nyomi kubwa na wamechangamka machalii hapo A town. Sasa idara ya uenezi ya Chadema haina live stream Tv yeyote.......Yaani idara ya habari hapo Chadema bado sana..............
 
Back
Top Bottom