Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

Kigoma to Dar_fare 60k
1.Adventure Semi-Luxury
2.Saratoga Line
3.Arizona Bus
Pia siku hizi lipo AN.. linapiga Dom to Kgm_fare 45k

Hapo awali yalikuwepo Mvullah,Sumry,Alsaedy n.k
 
Kimbinyiko nimepanda hakuna usb port shabiby nilipanda pia halina.

Labda A. B. C sijapanda.

Haya mabus wanayojiita ya kisasa sijui luxury hayaoni umuhimu wa hivo?
Abc hazijawahikosa , mabasi menfi yanayo kama huzioni juu hua zinakua chini ya siti na siti katikati hapo
 
Dar-Dodoma, ABC, Kimbinyiko na Shabiby
Dar-Musoma, JM luxury
Dar-Arusha, Kilimanjaro Express
Dar-Mwanza, Allys star, Isamilo.
Dar-Mbeya, hakuna gari za maana huko
Dar-Iringa, ABC, Deluxe
Mbeya hakuna gari za maana,acha uongo sauli,newforce,talent,alsaedy utafananisha na akina kisbo?kuanzia basi kubwa mpk mini bus mbeya hakuna gari mbovu.
 
Dar-Dodoma, ABC, Kimbinyiko na Shabiby
Dar-Musoma, JM luxury
Dar-Arusha, Kilimanjaro Express
Dar-Mwanza, Allys star, Isamilo.
Dar-Mbeya, hakuna gari za maana huko
Dar-Iringa, ABC, Deluxe
Kilimanjaro ruti ya Dar - Arusha ameshazidiwa kwa mbali sana na Machalii akina Marangu Coach na BM ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…