ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nilikosea Mbeya to arusha via makongolosi-Rungwa ni km 935 wakati mbeya to Arusha via mtera-dodoma ni km 1015 tofauti ya km 85300 km ni kutoka wapi hadi wapi?
Labda- sababu hesabu zinagoma.
Vipi kuhusu Rungwa hadi Ipole?
Subiri ikamilike ndio utajua itakuaje,kwani chunya,makongolos,Rungwa,ipole,Sikonge,Tabora na nzega hakuna abiria wa kuokota? Kwa taarifa yako hakuna anaepitisha huo mzunguko kwa sababu unazozitaja wewe maana mara nyingi mabasi huwa yanajaa kuanzia mbeya kabisa sio ya mwanza wala ya ArushaLazima gari nyingi zitapita iringa kwa lengo la biashara, gari za mbeya kwenda mwanza zinaokota abiria kuanzia igurusi,chimala,igawa,makambako,mafinga,iringa,mtera na dodoma
Sasa hiyo njia ya porini itakuaje?
Sizungumzii ya chalinze najua ziliacha kitambo japo hood huwa bado yupo,nazungumzia kuacha kupita mtera badala yake yapitie chunya makongolos Rungwa,hapo Rungwa kuna junction ya kwenda singida na tabora sas hii njia ni shortcut kuliko ya mtera na haina milima na mabonde kama ya mtera..Kwa wanaoenda Arusha mlima ni huu wa chunya na mingine wataikuta kuanzia katesh hadi babati tu but kwa wanaoenda kanda ya ziwa kama mwanza mlima ni huu wa chunya huko kwingine hadi mwanza ni kuteleza tuu tofauti na barabara ya kupitia mtera imejaa milima,kona kali na mabonde mwanzo mwishosaizi hazipiti chalinze bali njia ya mtera
Ujova na likolo la nanyungu lakatimbiliwa na matevele cha likita kunyonyope kwene, [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanikumbusha kwetu
Mbasa na mbelele[emoji39]
Nlienda huko mwaka juzi nilifikia pale kwa masista mlimani unatazama ziwa nyasa kwa chini., very good location ya hotelYes mate..nikitia nanga mjini maeneo ya mfaranyaki au mjimwema.
Subiri ikamilike ndio utajua itakuaje,kwani chunya,makongolos,Rungwa,ipole,Sikonge,Tabora na nzega hakuna abiria wa kuokota? Kwa taarifa yako hakuna anaepitisha huo mzunguko kwa sababu unazozitaja wewe maana mara nyingi mabasi huwa yanajaa kuanzia mbeya kabisa sio ya mwanza wala ya Arusha
Dah wapo na kyela hao mbasa,mbelele mbagale ukiwaambia wazaramo samaki wetu watamu kuliko wao hawaamini![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanikumbusha kwetu
Mbasa na mbelele[emoji39]
Kumbe Mkuu limehamia huko?Hayo ndio mabus ya Kibabe.Bus za siku hizi zina USB na AC ila tunakaa njiani mpaka makalio hayana hamu.Nimelazimika kucheka asee.
Hilo dubwana lipo Chuga - Musoma, linakatiza pori huko ni kucheza na nyumbu tu
Kumbe Mkuu limehamia huko?Hayo ndio mabus ya Kibabe.Bus za siku hizi zina USB na AC ila tunakaa njiani mpaka makalio hayana hamu.
Siku hizi Bus inapitwa na Boda Boda tena Ubavu wa Dereva.
Mambo ya ajabu kabisa kutokea..watu tlizoea amsha amsha zile za Champion unatoka Dar 12 Dom unaingia kazini..hahaha unasema nilipitia kupeleka mtoto Hospital.Siku hizi Dodoma masaa kibao kwenye Bus zina vyoo ndani.
Abood Chinja chinja hakuna tena siku hizi.Hood waka moto nazo kimya daah kweli miaka inaisha
Mwendo Kasi Unauaπππ
Gari za kipuuuzi Sana labda route nyingine mkuuwakuu vp kuhusu darlux dar_mwanza haina ishu siku hz!?
Mkuu kutoka Mbeya mjini mpaka Rungwa ni Km ngapi kama utakuwa unafahamuSizungumzii ya chalinze najua ziliacha kitambo japo hood huwa bado yupo,nazungumzia kuacha kupita mtera badala yake yapitie chunya makongolos Rungwa,hapo Rungwa kuna junction ya kwenda singida na tabora sas hii njia ni shortcut kuliko ya mtera na haina milima na mabonde kama ya mtera..Kwa wanaoenda Arusha mlima ni huu wa chunya na mingine wataikuta kuanzia katesh hadi babati tu but kwa wanaoenda kanda ya ziwa kama mwanza mlima ni huu wa chunya huko kwingine hadi mwanza ni kuteleza tuu tofauti na barabara ya kupitia mtera imejaa milima,kona kali na mabonde mwanzo mwisho
Iwe Kampuni ya mabasi ya kutoka mkoa ulipo kwenda mikoa mingine au safari za ndani ya mkoa.
Vigezo viwe:-
- Zipo kampuni mpya zinakimbiza mbaya sana.
- Zipo kampuni za zamani bado zinatesa.
- Achana na zile zinazochechemea
Hii itasaidia memba wanaotarajia kusafiri kufanya uchaguzi sahihi kulingana na bajeti zao.
- Huduma zilotewazo na hayo mabasi
- Upya wa mabasi
- Nauli
Fungukeni wadau.
Ukiachana na nauli elekezi za sumatra nauli bado zipo chini na za ushindani kwa mabasi husika, tufungue macho kwenu basi gani kali?
wastani wa km kati ya 250 na 300 hapoMkuu kutoka Mbeya mjini mpaka Rungwa ni Km ngapi kama utakuwa unafahamu
Nidio maana sikatagi ticket au kuweka booking mabasi nisiyoyajua naenda siku ya safariSUMATRA wamejifungia maofisini hawakagui hadhi ya mabasi wanayoyasimamia, kwa mfano, abiria wengi wanauziwa tiketi za Luxury bus lakini wanasafirishwa kwa Ordinary buses
Nidio maana sikatagi ticket au kuweka booking mabasi nisiyoyajua naenda siku ya safari