Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Silent ocean a.k.a simba wa bahariHabarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.
Yaani siku zisidi 30.
Nipeni ushauri ndugu zangu
hicho ndio kinachonitatiza maana rafiki zangu wengi wanasafirisha mizigo inachelewa siku zaidi ya 30Hizo Siku 30 Kwa meli ni uongo.
Watakudanganya tu hao jiandae Kisaikolojia
Abdallah Yuko china,ukimpigia simu hapokeagi na kuchukua mzigo wa cargo hawako wazi. Mfano hawaelezi tofauti ya gharama za ushuru na usafirishaji wa mzigo.Silent ocean a.k.a simba wa bahari
Sasa hapo inakuwaje wakuu,Abdallah Yuko china,ukimpigia simu hapokeagi na kuchukua mzigo wa cargo hawako wazi. Mfano hawaelezi tofauti ya gharama za ushuru na usafirishaji wa mzigo.
Ibrahim, Yuko hapa china muulize Mobile/ WhatsApp +8613535453753Sasa hapo inakuwaje wakuu,
kama una hela tumia DHL
Wao mzigo unachukua siku ngapiShamwaa wanapatikana china plaza kkoo
Jumlisha usumbufu wa TbsHawa ni wasumbufu sana kwenye cargo clearance kwa upande wa TRA.
Kuna jamaa wanaitwa Champion wako Uhuru Rd Near Chelsea Hotel, watafuteHabarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.
Yaani siku zisidi 30.
Nipeni ushauri ndugu zangu
Kama mdau wa juu alivyo kunambia huwezi kutumia meli kwa muda huo, uishangaike na promise fake.Habarini za leo wakuu,
Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum.
Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila kuchelewa.
Yaani siku zisidi 30.
Nipeni ushauri ndugu zangu
Mkuu inategemea meli iliyopo inaondoka huko tarehe gani, yani mfano ukinunua leo mzigo ukafika kweye warehouse yao kesho kutwa kama kuna mrli inaondoka ndani ya hizo siku kadhaa basi utawahi kufika.hicho ndio kinachonitatiza maana rafiki zangu wengi wanasafirisha mizigo inachelewa siku zaidi ya 30
OkayKama mdau wa juu alivyo kunambia huwezi kutumia meli kwa muda huo, uishangaike na promise fake.
Njia pekee inayoweza kuleta mzigo kwa muda mfupi ni Air cargo, kutumia ndege, na bei zake ni ndefu sana, mzigo wako Una kilo ngapi? Kilo moja kwa makampuni kama Aramex inaweza cost hadi 60,000
Pia unaweza moja kwa moja ukaenda mashirika ya Ndege yanayotoka China kuja Tanzania uone Rates zao zipoje.
OkayNgoja waje kukupa muongozo...