mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
afadhali wewe... kuna watu wanapenda stori kuliko facts.Kwa upande wa uwezo Mkandarasi anakidhi vigezo vya kimataifa kwani ni class 1 contractor in Building and civil works and also ana uzoefu wa kazi za ujenzi wa muda mrefu hivyo kwenye uzoefu wa job with similar work mkandrasi yuko vzuri pia ni Mkandarasi mzawa anafanya mradi mkubwa wa lami Makutano - Mugumu alishakamilisha Daraja la Mbutu wilayani Igunga
Swali la msingi ni je sheria za manunuzi yaani PPRA zilifuatwa? lakini kiuwezo mkandarasi yuko vzuri sana.
Mtu wke sana kambeba sana akiwa waziri pia hata mtaji hiyo kampuni haina plus vifaa wanavyo vya kuungaunga tu,hata geita kuna barabara kapewa.kwahiyo ni sawa na kampuni ya homKumbe ni kampuni ya MWANZA hapo sawa
Mayanga Contractors ipo toka miaka ya 80's if not 90's ,,,nimehamia mwanza around 98 nimeikuta,,Aisee kampuni yenyewe kumbe imesajiliwa mwaka jana tu? Inaonekana walisajili kampuni ili wapate kazi. Hii nchi kweli ni ngumu
Kuhusu tenda, ilitangazwa angalia andiko la barafu humu (search) alipokuwa akilinganisha kati ya huu uwanja na uwanja wa Dar.Mh! Dili limepigwa hapa la kufa mtu. Hili jina kama la mkolomije. Ndiyo sababu taratibu za Serikali kutafuta mkandarasi hazikufuatwa ili ampe mtu wake. Kuna kila sababu ya CAG kukagua shughuli yote hii kuanzia uchotaji wa pesa hadi kumpata mkandarasi ikiwemo maamuzi ya kujenga uwanja huo usio na kipaumbele cha namna yoyote ile kwa Watanzania.
Ulimsikiliza vizuri Nyalandu katika sababu zake za kujiondowa ccm? Na leo mbunge wa Zanzibar Turki au Mr White umesoma vyombo vya habari walichomnukuu?Maswali kama haya wapeni wabunge wenu wakaulize bungeni. Tunahangaika kuulizana JF, toka 2016 uwanja unajengwa, wabunge wenu hawasemi kitu hali kuwa pesa wanaidhinishwa tu. Wanaidhinisha pasipokujua mchakato na sababu za ujenzi?
Hakuna tenda ilitangazwa wala Bunge kupitisha chochote na kampuni zinazofanya kazi ni za Mtukufu, Bashite na rafiki zao hilo ndilo jibu.Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.
Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.
Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.
Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.
Ni hayo tu.
Ununuzi wa ndege kwa cash ile 10% yote imepitishiwa kwa Maliyamungu Bashite kisha wanagawana hakuna vita ya Ufisadi Tanzania bali kuna Sinema za kuwahadaa watanzania.Anajitia kupambana na ufisadi kumbe yeye ni fisadi papa.
Apambane kula pekee huku watanzania wengi wakifa kwa njaa?Vita ya kiuchumi jamani mwache raisi apambane.
Inawezekana ila hapo inaonyesha kabisa ni ya mwaka 2016. Labda kama hufahamu CRB wanavyotoa namba zao za usajili. Inawezekana ilikiwepo ikawa dormant ikaenda kufufuliwa mwaka jana kwa kazi ya CIAMayanga Contractors ipo toka miaka ya 80's if not 90's ,,,nimehamia mwanza around 98 nimeikuta,,
Ujenzi umefanyika kibabe kienyeji ndiyo maana ulianza bila jiwe la msingi mpaka jana ndipo waziri mbawala kaenda kuweka jiwe la msingi.Fedha hazijaidhinishwa na bunge
zipo kwenye bajetiTender uchwara ilitangazwa....kwenye gazeti nadhani kuna uzi uko humu wenyekile kipande cha gazeti ......ila hizo pesa hazimo kwenye bajeti alichota tu.....wamepiga chao ch juuu!!!!
Hizo ripoff za CAG zinakuja na hazifanyiwi chochoteMh! Dili limepigwa hapa la kufa mtu. Hili jina kama la mkolomije. Ndiyo sababu taratibu za Serikali kutafuta mkandarasi hazikufuatwa ili ampe mtu wake. Kuna kila sababu ya CAG kukagua shughuli yote hii kuanzia uchotaji wa pesa hadi kumpata mkandarasi ikiwemo maamuzi ya kujenga uwanja huo usio na kipaumbele cha namna yoyote ile kwa Watanzania.
Imesajiliwa April 2016?
Bila shaka Lake Secondary!!Classmate.
Haijawahi kuwa dormant,,,itakua imepewa class 1 mwaka Jana or structure ya kampuni na wamiliki ilibadilishwa to the extent wakaona waisajili upyaInawezekana ila hapo inaonyesha kabisa ni ya mwaka 2016. Labda kama hufahamu CRB wanavyotoa namba zao za usajili. Inawezekana ilikiwepo ikawa dormant ikaenda kufufuliwa mwaka jana kwa kazi ya CIA
Hakuna cha Bajeti pesa unazolewa kihuni kule Hazina yupo Doto ni mtoto wake wa nje ya ndoa, pesa ya kujenga chato haikuwa kwenye Bajeti ya Bunge wala nini ni ubabe tu ni kama wanavyochukua pesa huko huko na kumpatia Lipumba aue CUF na kuhujumu chadema.zipo kwenye bajeti
Ni kampuni yao Maliyamungu Bashite na Mtukufu huyo mtu mwingine ni bosheni tuBila shaka Lake Secondary!!