Kampuni inayomiliki Tigo yabadili jina, sasa ni Honora Tanzania

Uko sahihi Dr mwenzetu
Wasikubabaishe hao vijana vijinga jinga
 
Uko vyema sna Dr

Naoomba unipe abcd za bollore logistics

Kuna faili langu hapo ofcn kwao Hadi Sasa sijajibiwa tabata mwananchi
 
I was asking my self ,what the reason behind kumbe sio kubadili kuna ni wamehamisha umiliki kwa kuuza share
 
Na ikiwa kwamba former kampuni ilipata hasara.
 
Unaweza kuwa na PhD ikawa sio ya hiyo fani na usijue Mkuu au nakosea ukiwa na PhD ya vitunguu lazima ujue mambo ya upasuaji kwa kuwa una PhD tuu..
Upewe maua yako, hili sakata la kila mtu mjuzi kwa kila jambo linafanya wajuzi wanyamaze kutotumia nguvu nyingi kuelimisha mtu anaejua kila kitu lakini hajui
 
Mm nafahamu japo kidg kuwa kufunga biashara ni hasra kwa serekali ila kusimamisha Ina ruhusiwa na makadirio yako yatasimama. Hadi uanze upya Tena

Marka nyingi ssi wamiliki wa magri ya biashra tunacheza sna michezo hyo gari ikiaribika kidg tu tuna kimboa tra kiwaataarifu kwa barua
 

Bwana Singo,Ulishawai kufanya kazi na Sirjeff Dennis..kama niwewe basi jibu lako ni sahihi kwa kuwa nakufahamu very well..
 
Mauritius 🇲🇺 ni tax haven
 
sikiliza, kuna relief ya kodi. Unaendsha kwa miaka 3 kama hakuna faida unaacha. Ujanja, unamsukumia dada yako maisha ya wizi yanaendelea

SHERIA ZETU MBOVU
Mic wapo toka 1993 Miaka 30 iliopita Kabla ya Rostam kununua Tigo alikua na Hisa voda huko nako alikaa miaka kibao kabla ya kumaliza kuuza hisa zake 2021.
 
sheria za kima trako za kuumiza Wananchi na kuwapendelea mabwenyenye,..
 
Sasa mweleze rais wa mawe kuwa tushushe kodi na kuboresha ulinzi wa mifumo ya fedha kama atqacha kkukunanga.

Au nasema uongo ndugu yangu ChoiceVariable ?
Sisi hatuwezi fanya hivyo, maybe Zanzibar wanaweza. Nchi zisizo na kodi ama zenye kodi ndogo kama Dubai, Panama, Monaco zina population ndogo, ni Rahisi kupata mapato kupitia njia nyengine kwa kuvutia Uwekezaji, na sababu wana raia wachache mapato madogo tu yanaweza kui transform nchi kuwa na maisha mazuri.

Ukiwa na population ya watu milioni 60 inabidi kila sehemu utafute ili kuhudumia watu wote. Sidhani kama Kuna Nchi kubwa yenye kodi ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…