ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #181
Akili kubwa 🤣🤣🤣🤣Wenye akili ndogo kama wewe sio?
Nini kitakuzuia kwenda kununua nyanya kwenye ghorofa?
Unaelewa maana ya Opportunity cost? Rational thinking Je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kubwa 🤣🤣🤣🤣Wenye akili ndogo kama wewe sio?
Nini kitakuzuia kwenda kununua nyanya kwenye ghorofa?
Ukiwa kizimkazi unaiona kigamboni. Huko ndiko daraja litapitaKm 40? Sio 90?
Bakhresa ni mdogo sana, hilo daraja lazima lijengwe. Hii itakuwa zawadi ya mama nyumbani kwao. Waliosoma Cuba wamenielewaHuijui bongo hilo haliwezekani bakhresa ameshusha kitu kipya juzi tu kuna watu hii nchi wanafanya wanavyotaka kwa maslahi yao binafsi watapiga vita hyo kitu
Ziwa tanganyika kina ni kirefu hatari, ajali za kule ukitizama watu wamezama jirani tu na ufukwe, kule kuna bonde la ufa samaki wanakufa kwa uzee.Kama daraja lijengwe ziwa Tanganyika to congo, pale pana biashara ya maana itafutwe mahala ambapo kina sio kirefu cha kutisha iwekwe daraja.
Kwa Zanzibar mradi hautalipa
That's true,, anasukuma hii agenda Ili isaidie Zanzibar tu, becoz Bara haifaidiki kiasi hicho na Daraja la Zanzibar na hizo PESA zingefanya kitu kikubwa sana kwa maendeleo ya wabara.No one care about you wabara. It’s all about Zanzibar yeah mama anatukusanyia pesa za kutosha kutoka bara in order to create the future Zanzibar. Kuhusu nyie wabara we don’t care wat you do we only want your money and wealth only for the well-being of Zanzibarian over. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about sgr JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about sijui bwawa liishe lisiishe sisi haituhusu we only want your money [emoji383] only [emoji16]
Mwambie mchina akupe ART zaidi ya miaka 20 bureHalafu anakuja mtu from nowhere eti ni heri ya mzungu kuliko mchina
Wachina mmbarikiwe sana,
Samahani lakini usinichoke tuendelee kueleweshana. Umeelezea vizuri pia. Changamoto nayoiona hapo ni kwamba, Zanzibar ni nchi kamili tofauti na kigamboni.Tutapata faida kubwa tukijenga Daraja kutoka mjini Dares-Salaam Mpaka Zanzibar kwani kila gari itakayo pita katika daraja hilo itatozwa karibu Shilingi Elfu 20. Tuchukulie kwa mfano kila siku kuna magari 1000 yanayo kwenda mjini Zanzibar aka yatakayo pita katika hilo daraja tutapata karibu shilingi Millioni 20 kwa siku moja tu. Chukuliwa kwa mwezi tutapata shilingi Millioni 600 kwa mwaka tutapara shilingi Billioni 7 na Millioni 200. Tutaweza kurudisha pesa yetu tuliyoitengeneza kwa muda wa miaka 40 tu. Na tutapata wageni wengi kutoka nje ambao watakao kuja na kwenda Zanzibar kwa ajili ua Utalii. Na hao wageni watatuingizia pesa ya kigeni dollar kwa wngi tu.Tofauti na hivi sasa Serikali inapata pesa kidogo kutoka bandari kwa kuwatoza wafanya biashara wa boti zinazokwenda mjini Zanzibar Boti za akina Bakhressa na Wafanya Biashara wenzake.Hata Ulaya madaraja kama hayo yapo mengi tu na yanawaingizia Serikali vipato vya pesa vingi kila mwaka Serikali inafaidika kwa kupata vipato vya kulipia madaraja kama hayo. Tofauti na Serikali yetu ikitengeneza Mabarabara hawapati kitu Serikali kuhusu mabarabara kuliko daraja kama hilo. Chunguza daraja la kigamboni Serikali inapata kiasi gani cha pesa kila siku? Kisha utapata jibu kuwa daraja la Dar to Zanzibar litakuwa na faida kubwa zaidi kuliko Daraja la kigamboni. Wakiwepo wasimamizi wazuri tutafaidika sana kutokana na hilo daraja.
View attachment 2604379
Ndio maana nimeuliza, Watanzania bara watapata faida gani?Hili daraja kwa faida ya nani?
Zanzibar wanapanga kujenga bandari kubwa sana. Hilo daraja ni sehemu ya mpango huo.
Likijengwa, inaweza kuwa kifo cha Bandari yetu ya Dar. Wa Tanganyika tuamke!
Daraja la nini? Kwa trafiki gani ya magari kati Dar ma Zanzibar? Azam Marine inatosha kwa usafiri wa kawaida wa abiria. Hela yote ya Banfari itaenda Zanzibar. Akili kumkichwa.
Ndoto hiyo ya Dar / Unguja inaweza ikatimia karne ijayo lakini hii ya Unguja Pemba haipo kabisa.Pale Nungwi vikosi vya kutoka Afrika Kusini viliakhirisha kazi ya kuiangalia meli ya Spice iliyozama pale na watu wake.Walisema hawana vifaa vya kukaribia iliko.Ni kilomita kadhaa chini ya bahari. Nguzo itajengwa wapi ?Ni sawa, kuwe na route ya Daladala... Dar - Zanzibar (Unguja au Pemba)
Hahaha.............kumbe inaweza ikageuka vita ya kiuchumi 😜Kuna mwingine kaongeza ya VIII
Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia zaidi ya gharama za Kujenga SGR.
Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa? Kama Kuna ulazima wa Hilo daraja kujengwa ni Bora tujenge daraja across Lake Tanganyika tuifikie DRC.
Acha ujinga wa kusikiliza propaganda za marekani na vibaraka wake.Waulize wazambia,wachina wanamalengo ya kuitawala africa
Kabisa naona anahangaika nayo zaidi kuliko huku.Mama anataka akitoka madarakani zanzibar ineemeke na pesa za tanganyika.
Mwambie mchina akupe ART zaidi ya miaka 20 bure
Acha ujinga wa kusikiliza propaganda za marekani na vibaraka wake.
Wewe kama una akili timamu tazama katika mahusiano ya US na Tanzania au Africa na Mahusiano ya China na Africa au Tanzania ni yapi yana manufaa.
Hapo kuanzia nguo, simu vifaa vya ndani, mashuka, vyombo unapikia hadi jiko la gesi mchina amefanya yake, marekani ukiachia program za tv tena movie na internet ni kipi cha direct amekufanyia?
Kwetu halina faida bali hasara.Ndio maana nimeuliza, Watanzania bara watapata faida gani?