Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

Ule uzi umejianzishia mwenyewe wewe. Nani asiyejua tabia yako ya kudondoa.
 
Angekosea Kiswahili ndo nadhani ungekuwa sahihi au wewe ni mmoja wa wanaoamini wazungumzaji wa kingereza unachokitaka ndio wabunge wazuri. Je, kuna uhusiano gani wa hicho kiingereza na uwakilishi wa wananchi bungeni??
Wake up, mtoto wangu wa awali anaongea kingereza vizuri kinachovutia kuliko hata mimi ingawa, mimi ni graduate!

Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
 
Wewe kiingereza unakijua? Sijawahi kuona ukiandika sentesi ya kiingereza humu Jf

Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukijuwi? kwanini usiandike Kiswahili?
 
kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?

Hicho kiswahili wanatumia sana watu wa msoga.
 
Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukijuwi? kwanini usiandike Kiswahili?

Aaaah wewe nawe ni janga la kitaifa me nilifikiri wanakuonea,kumbe ni kweli hujui kuandika?jilekebishe basi we mkunga.
 
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.

kuna mahali umeandika 'mswaada' toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Aaaah wewe nawe ni janga la kitaifa me nilifikiri wanakuonea,kumbe ni kweli hujui kuandika?jilekebishe basi we mkunga.

Huna hoja, ngoja nimsaidie Mheshimiwa na wapambe wake.
 
Hivi kweli hii kitu kaandika Mheshimiwa Mbunge au wewe unampakazia tu hapa? Maanaa mpaka sasa siamini, halafu mwenyewe ndio ukaona unaleta kitu cha maana hapa? Bora ungeiacha hukohuko ulipo i banduwa, hapa unajuwa wengine hatustahamili kuona Mheshimiwa anachapia lugha za watu. Au umeandika wewe hii?
 
Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukijuwi? kwanini usiandike Kiswahili?

Vipi marine hassan wa tbc1 mbona mlimtetea sana siku ile kachemsha kidhungu tena mbele ya wageni? Sugu mnyamwezi wetu kidhungu chake kipo sawa ile mbaya. Ni mtoto wa mtaa so kama wewe sio wa mtaa huwezi elewa anaongea nini.
 
Wapiii? hata hiyo lugha ya mtaani haiandikwi hivyo. Unanchekesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…