Wewe kiingereza unakijua? Sijawahi kuona ukiandika sentesi ya kiingereza humu JfDaah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kiingereza unakijua? Sijawahi kuona ukiandika sentesi ya kiingereza humu JfDaah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Umekosa hoja inanivaa mimi, hapo ndiyo unapoonesha kuwa ujana wako hauna faida wala maana. Mie ndiyo FF, Golden Age, utaniona hivi hivi, na wenzako wanafunguwa ma nyuzi ya kunipenda huko, au hujayaoja? Unanchekesha!
Tena kuambiwa mzee ni sifa kubwa kwangu, MashAllah, mzee ambae anakugaragaza kijana mpaka unaishiwa hoja unaanza viroja. Unanshangaza!
Sikisii.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Wewe kiingereza unakijua? Sijawahi kuona ukiandika sentesi ya kiingereza humu Jf
Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukujuwi? kwanini usiandike Kiswahili?
Ule uzi umejianzishia mwenyewe wewe. Nani asiyejua tabia yako ya kudondoa.
Msahihishe basi.
Ingekuwa nyuzi kaanzisha yeye ningemsahihisha, mbona hata wewe nimewahi kukusahisha au umesahau?
kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?
Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukijuwi? kwanini usiandike Kiswahili?
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
kuna mahali umeandika 'mswaada' toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Aaaah wewe nawe ni janga la kitaifa me nilifikiri wanakuonea,kumbe ni kweli hujui kuandika?jilekebishe basi we mkunga.
HABARI YA MOTO MOTO NI KWAMBA KUNA KAMPUNI MOJA YA SIMU KUPITIA WAFANYAKAZI WAKE WASIO WAAMINIFU WANAJARIBU KU HACK SIMU YA SUGU
HAYO YAMETOLEWA NA SUGU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WAKE WA FACEBOOK NA KUTISHIA KUWA SUE KWA LAWYER WA KIMATAIFA NA KUSISITIZA KUWA YUKO SERIOUS KAMA ANAVYOSEMA HAPO CHINI
Joseph Mbilinyi
‎...i hear some corrupted employees r helping some people to hack my phone...beware phone company,coz im gonna sue u with a foreign lawyer whom u cant corrupt...im serious!!!
Tatizo siyo kuandika Kiingereza tatizo kwanini uandike Kiigereza kama hukijuwi? kwanini usiandike Kiswahili?
Vipi marine hassan wa tbc1 mbona mlimtetea sana siku ile kachemsha kidhungu tena mbele ya wageni? Sugu mnyamwezi wetu kidhungu chake kipo sawa ile mbaya. Ni mtoto wa mtaa so kama wewe sio wa mtaa huwezi elewa anaongea nini.
faiza foxy umeolewa?