Mrema alikua na siasa gani za maana!?..slaa aliendeleza ya mrema,umbra na si seraLabda ukikuwa mtoto Mdogo lakini Kama ulikuwa umeshapata akili ungefuatatilia siasa za mrema , mtikila, Lisu, Slaa Miaka ya 1994 mpaka 2010 ungepata majibu ya Maswali yako .
Kwa jinsi ambavyo vyoo vya stendi na sokoni havioshwi ni bora viuzwe tu. Sijawahi kuona nchi ya walalamikaji kama Tanzania.Huyu mama mpk akatoke madarakani mpk vyoo vya stendi atakuwa kauza.
Mungu wako alikua na matatizo ya moyo na aliidharau corona, circle yake waliugua na kufariki wengi,makamu wa Sasa alipona akamshukuru Sana Mungu,hakuna aliyesema kikwete alianzisha ujenzi wa sgr Bali Alianza kuhangaika nayo,akakubaliana na exim bank china,kwa riba nafuu,tulikua tukitupiana maneno na Kenya wao wakiajenga,Mungu wako akaachana na wachina akasaini na waturuki kwa riba kubwa zaidi,waturuki wakaenda kukopa kulekule china eximHakuna kikwete kafanya kwenye sgr, mbona mnalazimusha king, nyie na kundi lenu la huyo mzee msiga ndio mlimuua JPM kwa wivu baada ya kuona anawafunika
Una bana pua hapa etu Kikwete ndio alianziasha sgr, hata mshipa wa aibu hamna?
Jibu niliyokuulizaTulimpinga magufuli na upuuzi wake sio kama mkatoliki na tunampinga samia na upuuzi wake sio kama mwislamu
Usiweke udini mbele dogo
Na waraka wao kuusoma makanisani kila Jumapili sijui wamepoteajeWale wa DP World kuchukua Bandari yote wako wapi? 😂😂
Kelele zilikuwepo bulyanhulu ni watu kuuawa,mrema akidai wengine walifukiwa kwenye kifusi na tingatingaKama inasema kuwa buzwagi, bulyankulu hapakuwa na kelele, itoshe kusema kuwa wewe ni mdogo kiumri ama mgeni hapa nchini.
Hapa kwa kuwa aliyepewa sio Mwarabu hutosikia Waraka wa Kanisa wala kelele za Padri Slaa na Mwambukuzi wakeAdani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania.
====
The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority
Photo: Bloomberg
Marking its third foray into international ports, Adani Ports and Special Economic Zone (APSEZ) will operate and manage Container Terminal 2 at the Dar es Salaam Port, Tanzania, through its subsidiary Adani International Ports Holdings Pte Ltd, the company said on Friday.
The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority.
Through a joint venture formed with Abu Dhabi Ports Group and East Harbour Terminals Ltd last year, India’s largest port operator has also bought the Hong Kong-based SPV which employs the manpower and equipment at the terminal for $39.5 million.
“East Africa Gateway Ltd (EAGL) has signed a Share Purchase Agreement for the acquisition of a 95 per cent stake in Tanzania International Container Terminal Services Limited (TICTS) from Hutchison Port Holdings Limited (and its affiliate Hutchison Port Investments Limited) and Harbours Investment Limited for a purchase consideration of $39.5 million. TICTS currently owns all the port handling equipment and employs the manpower. Adani will operate CT2 through TICTS,” the company’s statement read.
According to APSEZ, it is a gateway port with a well-connected network of roadways and railways.
“CT2, with four berths, has an annual cargo handling capacity of 1 million TEUs (twenty-foot equivalent units) and managed 0.82 million TEUs of containers in 2023, estimated to be 83 per cent of Tanzania’s total container volumes,” APSEZ said in a statement.
According to APSEZ’s disclosure to stock exchanges, TICTS’ turnover in 2023 was $43.7 million.
EAGL has been incorporated as a joint venture of APSEZ’s international ports arm, AD Ports Group, and East Harbour Terminals Limited, and APSEZ will be the controlling shareholder and will consolidate EAGL on its books.
Hutchison Port Holdings was once the largest port operator in the world and currently operates port assets in over a dozen nations. It had reportedly been running the Tanzanian terminal’s operations for 22 years.
“The signing of the concession for Container Terminal 2 at Dar es Salaam Port is in line with APSEZ’s ambition of becoming one of the largest port operators globally by 2030. We are confident that with our expertise and network in ports and logistics, we will be able to enhance trade volumes and economic cooperation between our ports and East Africa. We will strive to transform Dar es Salaam Port into a world-class port,” said Karan Adani, managing director, APSEZ.
APSEZ already operates an international port in Israel – the Haifa port – and has an under-construction terminal in Sri Lanka. It had also acquired a port in Myanmar, which it eventually had to sell at a $150 million discount amid allegations of contributing to the civil unrest in the country.
Related Threads:
Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek
Kampuni inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani,imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS)
Machadema ni matapeli ,wakasema Serikali imekatazwa kujenga Bandari zingine zote Hadi DP World atoe kibali 😁😁😁Na waraka wao kuusoma makanisani kila Jumapili sijui wamepoteaje
Unaumia nini sasa? Watanzania ni wezi, wavivu na watu wa kuendekeza starehe.Hii inaumiza sana, na haya yote ni matokeo ya UWOGA tuliopandikiziwa watanzania. Katika Thread 'TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo' niongelea sana namna UWOGA unavyo tutafuna watanzania na jinsi unavyo kwamisha maendeleo ya nchi yetu. Hili lingetokea nnchi nyingine kama Kenya hivi, sijui ingekuwaje mpaka muda huu.
Suluhisho la kukosekana kwa usimamizi/management thabiti ya sekta mbalimbali za nchi sio kuuza tu bali kuwaondoa hao wanaoshindwa kusimamia vyema.Kwa jinsi ambavyo vyoo vya stendi na sokoni havioshwi ni bora viuzwe tu. Sijawahi kuona nchi ya walalamikaji kama Tanzania.
Uvivu nyinyi, uzembe nyinyi, wizi nyinyi, na bado mnataka raslimali zisiuzwe??? HAIWEZEKANI
Basi mama atuuze na sisi wananchiKwa jinsi ambavyo vyoo vya stendi na sokoni havioshwi ni bora viuzwe tu. Sijawahi kuona nchi ya walalamikaji kama Tanzania.
Uvivu nyinyi, uzembe nyinyi, wizi nyinyi, na bado mnataka raslimali zisiuzwe??? HAIWEZEKANI
Slaa,Mwabukusi, Lissu mukuje hukuuuu, mbona kimya?😁Wale wa DP World kuchukua Bandari yote wako wapi? 😂😂
PHD za shukrani kwa kuwauzia nchi, unauza bandari alafu unarudi kwa wananchi kuendelea kuwakamua zaidi tozo Kila sehemu nasikia Kuna tozo ya Kila lakini ya simu na vingamuzi inakuja.Hata Wakorea wanampa PhD nyingine. Safari hii ni kwa ajili ya kuimarisha usafiri wa anga (kwa ndege za mwamba). PhD ya tano hiyo 👏👏👏👏
View attachment 3005306
Mnakumbuka hii mada hapa Kampuni ya APSEZ mbioni kupata tenda ya gati Bandari ya Dar es SalaamAdani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd.
Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania.
====
The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority
Photo: Bloomberg
Marking its third foray into international ports, Adani Ports and Special Economic Zone (APSEZ) will operate and manage Container Terminal 2 at the Dar es Salaam Port, Tanzania, through its subsidiary Adani International Ports Holdings Pte Ltd, the company said on Friday.
The concession agreement for 30 years has been signed with the Tanzania Ports Authority.
Through a joint venture formed with Abu Dhabi Ports Group and East Harbour Terminals Ltd last year, India’s largest port operator has also bought the Hong Kong-based SPV which employs the manpower and equipment at the terminal for $39.5 million.
“East Africa Gateway Ltd (EAGL) has signed a Share Purchase Agreement for the acquisition of a 95 per cent stake in Tanzania International Container Terminal Services Limited (TICTS) from Hutchison Port Holdings Limited (and its affiliate Hutchison Port Investments Limited) and Harbours Investment Limited for a purchase consideration of $39.5 million. TICTS currently owns all the port handling equipment and employs the manpower. Adani will operate CT2 through TICTS,” the company’s statement read.
According to APSEZ, it is a gateway port with a well-connected network of roadways and railways.
“CT2, with four berths, has an annual cargo handling capacity of 1 million TEUs (twenty-foot equivalent units) and managed 0.82 million TEUs of containers in 2023, estimated to be 83 per cent of Tanzania’s total container volumes,” APSEZ said in a statement.
According to APSEZ’s disclosure to stock exchanges, TICTS’ turnover in 2023 was $43.7 million.
EAGL has been incorporated as a joint venture of APSEZ’s international ports arm, AD Ports Group, and East Harbour Terminals Limited, and APSEZ will be the controlling shareholder and will consolidate EAGL on its books.
Hutchison Port Holdings was once the largest port operator in the world and currently operates port assets in over a dozen nations. It had reportedly been running the Tanzanian terminal’s operations for 22 years.
“The signing of the concession for Container Terminal 2 at Dar es Salaam Port is in line with APSEZ’s ambition of becoming one of the largest port operators globally by 2030. We are confident that with our expertise and network in ports and logistics, we will be able to enhance trade volumes and economic cooperation between our ports and East Africa. We will strive to transform Dar es Salaam Port into a world-class port,” said Karan Adani, managing director, APSEZ.
APSEZ already operates an international port in Israel – the Haifa port – and has an under-construction terminal in Sri Lanka. It had also acquired a port in Myanmar, which it eventually had to sell at a $150 million discount amid allegations of contributing to the civil unrest in the country.
Related Threads:
Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek
Kampuni inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani,imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS)
Sasa!Kelele zilikuwepo bulyanhulu ni watu kuuawa,mrema akidai wengine walifukiwa kwenye kifusi na tingatinga
Adani watakuwa wakiendesha gati namba 7 mpaka 11. TICTS ya zamani
Habari za vijiweni huwa mbaya Sana na za uongo, na ndiko LISSU, anakopatia habari zake!Wale wa DP World kuchukua Bandari yote wako wapi? 😂😂
Akili zako zimekwama kufikiriana umekaa kiudini sana. Kwenye mambo muhimu ya hii nchi mnaingiza masuala ya udini. Ktk kupambania hii nchi bila kujali udini ni haki ya kila mtanzania. Anayekosea akosolewe bila kujali udini. Mama samia ni raisi wa watanzania na si raisi wa wakristo wala waislamu, akifanya sivyo watanzania wana haki ya kumkosoa kama kiongozi wao. Mambo ya Padri yanaingiaje hapo? Kwa nini usije na hoja yenye mantiki na iliyojikita kwenye mada husika?. Mtalizamisha hili taifa kwa kutokuwa na maarifa.
Su mlikuwa mnasema bandatri yte wameuziwa DPW?Kabakiza kugawa Bagamoyo port, SGR na gas; mengine yote keshauza misitu, mabasi, migodi ilyokuwa reserved na bado anakopa.
Huku wanagawa cash cow assets, halafu huko bungeni wanawaza kodi kwa watu maskini.
Only in Tanzania