Bila ya Diaspora Tanzania aitoboi miaka 800.
Ndio ukweli, hivi kwa mtu mwenye uelewa wa conglomerates wa Oil and Gas players na ukubwa wa Total and CNOOC ni watu kutishiwa nyau kweli kirahisi.
Issue hapo ya kubwana kwa hao watu achilia mbali kelele za wanaharati zipo kwenye sheria za EU na commitment zao za carbon emission reduction za kampuni zilizosajiliwa (EU ni story ndefu to explain how TOTAL would justify that investment) in line with environmental agreements.
Hayo ya Museveni kuongea kuhusu africa kuwa na little pollution kimataifa yanaeleweka and since the ‘Kyoto Protocol’ kwa uelewa huo wazungu wamezuia kuchafua na sisi kuruhusiwa lakini kuna kanuni zake.
Moreover either umeruhusiwa kuchafua or not uwekezaji wa mazingira dunia ya leo una vigezo inavyotaka ku asses environmental costs and mitigation strategies.
Environmental costs ina sehemu kadhaa.
- Private environmental costs
- Social environmental costs
- Visible environmental cost
- Hidden environmental costs
Hivyo vipengele vina sub sections zake, sio shughuli nyepesi kama tunavyodhani and financial quantified with a report.
Ujazungumzia bado eco-efficiency report ya mradi.
Hilo ni bomba la mafuta tu, kwa mradi wetu wa gas rufiji utaki kujua hayo matakwa ya mazingira ya EACOP cha mtoto.
Ndio ujue ukiona wazungu wanamkenulia meno Makamba ujue wanachekelea tumepewa jitu jinga kweli la kuturahasishia negotiations huko ni kwenye mazingira.
Finance god forbids sitaki ata kufikiria Makamba kama muongozaji wa negotiations; nyie watu mnaosifia hivi vitu hamjui tu mnacholazimisha huko Lindi.
Cest la Vie.