Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Dah...niliandika maneno...nikajiuliza sana....nikafuta...kwa sababu ni jukwaa la siasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Hv hii subra mbna haipo kwa wanasiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kuhamia Dom.nn kimeongezeka zaid ya kuongeza gharama marudufu ya matumizi ya serikali?
Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi iliyoendelea kupitia misaada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
These exclusions, along with Vale’s, were based on recommendations from the independent Council of Ethics.

Jr[emoji769]
 
Hii nchi kivyovyote vile tunahitaji Umeme wa uhakika hilo Bwawa tayari lilikuwa hope sana kwetu mana peke yake tu lingekamilika lingefua umeme Zaidi ya tulio nao kwenye Grid sasa kwahiyo kufurahia mkwamo wa hio project ni zaidi ya Ujinga mana viwanda haviwezi kujengwa bila uhakika wa nishati lakini lazima tupambane kuondoa huu mkwamo hakuna mzungu atafurahi kuona unajenga dam ya kufua MW 2100 kwa sasa totol Power tuliyonayo ni 1400MW nationwide
 
Kweli Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na yale mafito ya chuma pale mtaa wa gerezani ujenzi wa es ji ara yanatoka au ndo tubinjuke na chuma chakavu?
 
Majanga juu ya majanga juu ya majanga....
 
Wale Jamaa wa gesi mtwara kule wameweka ela zao nyngi tu, leo hii wasikie eti unalalamika umeme wao ni ghali alafu unataka kutumia wa maji???

Hizi ni figisu zao, achana na Bepari bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…