Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Mjinga ni wewe ambae unadhani boss wako anaweza kuwa ni mtu mwenye akili kuliko watz 60mil... Nasikia huko ulumumbani mnamsifu kwa majina mengi mengi kama Nabii etc.

Kifupi hakuna kipindi ambacho tulikosea kama 2015. Hakuna nchi yoyote duniani inayo puuza private sector aafu uchumi ukawa stable. Nashukuru Mungu sasa hivi watz wameanza kuamka unakuta vijana ni failure ndio washauri wa mzee na vyeo wamepewa kuongoza watu wenye akili kuzidi wao. Sitaki nitumie akili yangu kuwa dharau wasukuma lakini tunako elekea nitaanza kuamini kwamba kuchunga ng'ombe ni tofauti na kuongoza binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya sana hii
 
Brother tuwe wazalendo kidogo! Pengine ni kweli isingeleta tija kwa ambao wana ajira, ila ambao hawana ajira ingekuwa na tija... Tusiwe wabinafsi kuna raia kibao wanasubiri izo ajira bro... Na watumishi wachape kazi kama mkuu anavyosema!!! Masilai mazuri ni pamoja na izo project kukamilika! Me naamini Raisi anawafikiria watumishi na anajua changamoto walizonazo tuwe na subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo 60% wanazitoa wapi?

Sent using [emoji106]
 
Halafu kwanini wanang'ang'ania Tanzania ndo kuwe na urithi wa dunia? Waweke kwao huo urithi wanashindwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hata mradi alioanzisha ukafaulu ,jamaa ni failure mkubwa anachoweza kufanya ni kununua wapinzani na kufukuzana nao,empty big head isiyosikiliza ushauri haya ndo matokeo yake.
 
Kuna nchi zimejitoa mpaka kwenye Kyoto Agreement sababu za kiuchumi, sisi sehemu ndogo tu kuzalisha umeme , watu kelele, na wengine wanaoshangilia hivyo ni wapiga polishi na wachoma mishikaki waliokosa wateja
 
Kwa swala la umeme nitaungana na jiwe 100% Stigler's gauge sidhani kama tunaweza weka uharibifu wa kuvuruga maliasili ya wanyama kiasi hicho, umeme ni muhimu sana kwa Tanzania, kama hiyo ndiyo sehemu pekee tunaweza pata umeme wa kutosha basi we have to do anything we can to get it. Kama ni kuhamisha wanyama wachache then sawa, power plant za HEP hazichukui 100km kujenga, ni eneo dogo ukilinganisha na ukubwa wa sehemu yenyewe ilivyo.

Kwa hili swala wasilete ujinga aisee, we are in a very bad position inabidi twende kibishi tu tupate umeme wa kutosha la si hivyo maendeleo yataendelea kua ovyo, electricity, internet, dunia ya leo bila vitu hivi huendi popote, sisi bado umeme unakatika almost kila wiki, wao umeme wao haujakatika miaka zaidi ya 20 hawajui hata kukatika umeme kukoje.
 
Wee pumbavu hauna akili kabisa..nani atakubali kuwakopesha hiyo kampuni ya Egypt inayojenga mradi unaoharibu mazingira na Earth Heritage?? UNESCO walisha declare kwamba ujenzi wa hilo bwawa unakwenda kuharibu Mazingira ya eneo husika ila Meko ameshupaza shingo ngoja ataimba kisukuma sasa..
 
Hyu jamaa yangu ana gundu, kila mradi unabuma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…