Uwezo tunao Sana ...we need strong leaders...unadhani wazungu wana raha? Wana hofu mno na Afrika na hasa mtu mweusi....watafanya mbinu nyingi kumkandamiza mtu mweusi lakini atakuja ibuka tu...sisi kwa maana ya kizazi hiki hatuyaona mabadiliko lakini kizazi kuanzia Cha nne kuanzia Sasa watakuwa tofauti..they will rule the world...hiyo ndiyo rule ya dunia...huwezi kuwa juu milele...lazima mabadiliko yatokee...Waafrika hatuna uwezo wa kujitoa kwenye hiyo mitego ya mabeberu?
Ok,mtoa hoja,alisema nini katika kuwasilisha hoja yake?Suala la kuhamia Dodoma lilikuwa ni hoja ya Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973. Na mtoa hoja hakuwa Mwalimu. Tafuta Kumbukumbu utajua huu ndiyo ukweli!
Hii imenikumbusha kipindi Moto unawaka kwenye misitu ya Amazon, Wafaransa wakatoa fungu kwa nchi ya Brazil iwasaidie kuuzima, jamaa walikataa msaada wakawaambia Mabeberu wa Kifaransa izo hela ziwasaidie wao wenyewe kuotesha miti nchini kwao. Mabeberu wana double standards sana.Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Mtanyooka tu nyinyi wasaliti baadae tutajua cha kuwafanya baada ya mradi kukamilika.Daah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana.
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki.
Huko Chato naona Betri inaweza kupiga shoti
Yaani ule mradi ambao ndio ilikuwa karata ya kampeni nao ndio huo Corona nayo inatafuna uchumi kila kukicha
Mbuga za wanyama hazina mtalii hata wa dawa
Mahoteli yamefungwa huku TRA bado wanagonga milango ili wapewe chao
Majirani wametususa na kutufungia mipaka
Wauguzi huko hospitali wanapukutika kwa ukosefu wa PPE
Halafu guess what!...order inatoka kwamba Mrema aende kuchukua mabulungutu ya fedha za walipakodi ili akafanye mkutano wa kumsifu Tausi
Uraia wako wa Tanzania unamashaka ndugu, Habari kama hii ilipaswa imkasirishe kila mwenye mapenzi mema kwa Taifa lake. Watu design yako ndio hufanya wanasiasa wakishika madaraka watafune mali, safari za mamtoni zisizoisha. Not everybody can handle the ungrateful people.Haahaaha.....
Kama namuona vile..
Dona Kantre bby
Nyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.Watu wa aina yake Ni pamoja na wewe hebu peleka upoyoyo huko
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi
Sioni mradi ukiathirikia
Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia
Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Tutaambia nini watu ..maana kila mradi una ishia njiani
sijui itakuaj
Washenzi wale!!! Mistu yao yote walishagafyeka, wanategemea natural air kutoka Africa, na sasa wakiona maeneo ambako hewa baridi mzuuri kunafanyika Miradi ya kimaendeleo ya nchi hizo, wanatia vikwazo, Nia Yao sio kutetea viumbe hai vilivyopo hapo, Maana hata Kwa ujangili wao ndio wanaongoza, wanaongoza Kwa kununua ndovu zetu, Nia Yao ni Ile natural air kutoka Bala nzuri AfricaHii imenikumbusha kipindi Moto unawaka kwenye misitu ya Amazon, Wafaransa wakatoa fungu kwa nchi ya Brazil iwasaidie kuuzima, jamaa walikataa msaada wakawaambia Mabeberu wa Kifaransa izo hela ziwasaidie wao wenyewe kuotesha miti nchini kwao. Mabeberu wana double standards sana.
Ukiwasikiliza utaishia kutegemea misaada milele.
Mnarudia huko huko umbea mbeya na ukike, serikali haijawahi kusema tuna akina ya miaka mitaji, huo ni ununda uliopitilizaImekuja kutuaibisha nchi haina akiba ya fedha wakati tulikuwa tukiambiwa tuna fedha za kutosha miaka mitano
Haya tukimbilie kwa wazalendo uchwara wenzetu wachina. Ila msisahau kuwa makini na vigezo na masharti ya mikopo maana bado wana hasira na ile Bandari ya Bagamoyo.
Nakuona unavyofurahiDaah tumekwisha Ndege ndio hizo zimedorora Stiglers nayo ndio hiyo kilichobakia ni Sgr hii ni mikosi ya kujitakia ya kumpiga Tundu Lissu risasi
Siyo mada ya bandiko hili. Lakini huo ndiyo ukweli na Mwalimu alitangaza tu Azimio la Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973. Kumbuka hoja hiyo ilikuja miaka 8 tangu kufutwa kwa mfumo wa vyama vingie Tanganyika!!Ok,mtoa hoja,alisema nini katika kuwasilisha hoja yake?
Kwa hiyo kusema ndege zimedorora ni usaliti au siku hizi usaliti ni kusema ukweliMtanyooka tu nyinyi wasaliti baadae tutajua cha kuwafanya baada ya mradi kukamilika.