Uwezo tunao Sana ...we need strong leaders...unadhani wazungu wana raha? Wana hofu mno na Afrika na hasa mtu mweusi....watafanya mbinu nyingi kumkandamiza mtu mweusi lakini atakuja ibuka tu...sisi kwa maana ya kizazi hiki hatuyaona mabadiliko lakini kizazi kuanzia Cha nne kuanzia Sasa watakuwa tofauti..they will rule the world...hiyo ndiyo rule ya dunia...huwezi kuwa juu milele...lazima mabadiliko yatokee...Waafrika hatuna uwezo wa kujitoa kwenye hiyo mitego ya mabeberu?