Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Waafrika hatuna uwezo wa kujitoa kwenye hiyo mitego ya mabeberu?
Uwezo tunao Sana ...we need strong leaders...unadhani wazungu wana raha? Wana hofu mno na Afrika na hasa mtu mweusi....watafanya mbinu nyingi kumkandamiza mtu mweusi lakini atakuja ibuka tu...sisi kwa maana ya kizazi hiki hatuyaona mabadiliko lakini kizazi kuanzia Cha nne kuanzia Sasa watakuwa tofauti..they will rule the world...hiyo ndiyo rule ya dunia...huwezi kuwa juu milele...lazima mabadiliko yatokee...
 
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia


Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki
Hii imenikumbusha kipindi Moto unawaka kwenye misitu ya Amazon, Wafaransa wakatoa fungu kwa nchi ya Brazil iwasaidie kuuzima, jamaa walikataa msaada wakawaambia Mabeberu wa Kifaransa izo hela ziwasaidie wao wenyewe kuotesha miti nchini kwao. Mabeberu wana double standards sana.
Ukiwasikiliza utaishia kutegemea misaada milele.
 
Huko Chato naona Betri inaweza kupiga shoti
Yaani ule mradi ambao ndio ilikuwa karata ya kampeni nao ndio huo Corona nayo inatafuna uchumi kila kukicha

Mbuga za wanyama hazina mtalii hata wa dawa

Mahoteli yamefungwa huku TRA bado wanagonga milango ili wapewe chao

Majirani wametususa na kutufungia mipaka

Wauguzi huko hospitali wanapukutika kwa ukosefu wa PPE

Halafu guess what!...order inatoka kwamba Mrema aende kuchukua mabulungutu ya fedha za walipakodi ili akafanye mkutano wa kumsifu Tausi

Acha upumbavu kuna kitu gani jirani hao huwa wanatoa kwa tanzania kama msaada?
watu wamejifungia wewe unasema wametususa, hata wao wamejisusa maana pia waanahitaji kuja tanzania. Wanaojifungia wenyewe wanalia hali ngumu sasa hapo huwa ni faida wanapata, acheni uzumbukuku, hakuna taifa litafaidika kwa kujifungia au kumfungia mwingine bila corona kwisha, na ukiona wewe hujaugua hiyo vorona basi ujue pia kuna wengine nao wapo hawajaugua.
Kushabikia miradi ya nchi yako kutofananikiwa wewe ni sawa na shetani tu. Na pengine hata kodi hulipi ndo maana unaflahi.
 
Haahaaha.....

Kama namuona vile..

Dona Kantre bby
Uraia wako wa Tanzania unamashaka ndugu, Habari kama hii ilipaswa imkasirishe kila mwenye mapenzi mema kwa Taifa lake. Watu design yako ndio hufanya wanasiasa wakishika madaraka watafune mali, safari za mamtoni zisizoisha. Not everybody can handle the ungrateful people.
 
Watu wa aina yake Ni pamoja na wewe hebu peleka upoyoyo huko
Nyie acheni kuleta ushakunaku humu...Mtu anaandika maoni yake,hana nia mbaya na hajakutukana,unaanza kumporomoshea mitusi kisa hujapendezwa na maoni yake!! Kwan uliambiwa hii ni forum yenye mijadala na maoni ya kukufurahisha wewe? Au ungeanzisha yako boss.
 
Mkuu unataka tena pesa za mabeberu?

Kweli baniani mbaya kiatu chake___________
Nimesoma Wizara imetenga kwenye bajeti zaidi ya 60% kukamilisha huo ujenzi

Sioni mradi ukiathirikia


Ila Mabeberu yanaroho mbaya sana yanajifanya yanajali mazingira yetu wakati wao wameharibu mazingira kwa maviwanda yao oooo urithi wa Dunia! Mbona kwenye Nchi zao Hakuna maeneo ya urithi wa Dunia

Nashauri kampuni iende kwa Nchi rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenikumbusha kipindi Moto unawaka kwenye misitu ya Amazon, Wafaransa wakatoa fungu kwa nchi ya Brazil iwasaidie kuuzima, jamaa walikataa msaada wakawaambia Mabeberu wa Kifaransa izo hela ziwasaidie wao wenyewe kuotesha miti nchini kwao. Mabeberu wana double standards sana.
Ukiwasikiliza utaishia kutegemea misaada milele.
Washenzi wale!!! Mistu yao yote walishagafyeka, wanategemea natural air kutoka Africa, na sasa wakiona maeneo ambako hewa baridi mzuuri kunafanyika Miradi ya kimaendeleo ya nchi hizo, wanatia vikwazo, Nia Yao sio kutetea viumbe hai vilivyopo hapo, Maana hata Kwa ujangili wao ndio wanaongoza, wanaongoza Kwa kununua ndovu zetu, Nia Yao ni Ile natural air kutoka Bala nzuri Africa
 
Imekuja kutuaibisha nchi haina akiba ya fedha wakati tulikuwa tukiambiwa tuna fedha za kutosha miaka mitano
Mnarudia huko huko umbea mbeya na ukike, serikali haijawahi kusema tuna akina ya miaka mitaji, huo ni ununda uliopitiliza
 
Ok,mtoa hoja,alisema nini katika kuwasilisha hoja yake?
Siyo mada ya bandiko hili. Lakini huo ndiyo ukweli na Mwalimu alitangaza tu Azimio la Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973. Kumbuka hoja hiyo ilikuja miaka 8 tangu kufutwa kwa mfumo wa vyama vingie Tanganyika!!
 
Ni kitu cha kusikitisha sana kwakweli.Nnachoona Magufuli hataki kukubali kushindwa ila ss hvi angekua mjanja angekua humble ashuhulike na corona ingempa sbb tosha ya kuwaambia wapiga kura uchumi unesimama sbb ya janga ila sasa ni mkomavu anataka akomae wakati mambo hayaendi na mabalaa yanaibuka kila kukicha ataegemea wapi?
Aache ukaidi aendane na mazingira hata haya ya stiler yasingemuumbua.

Hii issue imeniuma sana dah
Sikio la kufa.
 
Back
Top Bottom