magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 6, 2025 #21 Kwenye kutoa(kutumia), Mwarabu yupo vizuri zaidi tofauti na Muhindi. Muhindi ni bahili by nature.
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 306 Reaction score 699 Mar 6, 2025 #22 Moja ya njia ya kisheria ya kukwepa kodi ni kupitia Foundations. All in all utajiri una mengi.
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Mar 6, 2025 #23 GENTAMYCINE said: Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua? Click to expand... Wanauza magodoro na maji ya kunywa Ukichimba sana kesho saa tano asubuhi utakuta press conference ya wazee wa mwiko nyuma una chuki na klabu yao utasomewa duwa kali upate ukichaa
GENTAMYCINE said: Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua? Click to expand... Wanauza magodoro na maji ya kunywa Ukichimba sana kesho saa tano asubuhi utakuta press conference ya wazee wa mwiko nyuma una chuki na klabu yao utasomewa duwa kali upate ukichaa
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Mar 7, 2025 #25 Ukitembelea maduka yao hayana watu, ila sasa matangazo ni hatari GSM Ana ICD nyingi kuliko Kampuni yoyote ile
Ukitembelea maduka yao hayana watu, ila sasa matangazo ni hatari GSM Ana ICD nyingi kuliko Kampuni yoyote ile
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,017 Reaction score 8,442 Mar 7, 2025 #26 GENTAMYCINE said: Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua? Click to expand... This is africa my brother
GENTAMYCINE said: Je, Wazalendo wa Kweli wa Tanzania wakiongozwa nami GENTAMYCINE tukienda TRA kuona kama wanalipa Kodi tutajua? Click to expand... This is africa my brother