Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Hakuna tofauti Mkuu - Ni kukazia tu hukumu - itekelezwe...Na interest juu...Kupewa ushindi mahakamani na kupata hela ni mambo mawili tofauti.
View: https://youtu.be/ZlwoIIpVVlk?si=sp_HxXDOKNKu4gst
Kwanza kabisa hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania, kampuni ya Kimarekani.Hakuna tofauti Mkuu - Ni kukazia tu hukumu - itekelezwe...Na interest juu...
Kuna mtu nimekuuliza same question, jibu halikia directKwanza kabisa hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania, kampuni ya Kimarekani.
Una enforce vipi hukumu ya madai iliyopitishwa na mahakama ya Tanzania kwenye kampuni ya Kimarekani ambayo haina biashara Tanzania?
Sasa hapo atalipwa vipi na hiyo ofc ilikuwa inawakilishwa na nani huku kwenye mahakama zetu.Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano.
Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es Salaam. Wasanii hao waliwakilishwa na kampuni ya Markel Advocates, na kesi hiyo imeendeshwa kwa miaka 4.
Wimbo wa "Sikutaki Tena" ulitolewa mwanzoni mwaka 2000 na kurekodiwa katika Studio za Soundcrafters chini ya utayarishaji wa Enrico.
Hizi hukumu za madai kwa kampuni za Tanzania tu huwa hazilipwi, itakuwa kwa kampuni ya Marekani?Kuna mtu nimekuuliza same question, jibu halikia direct
Kwa wanasheria wetu hawa bado hawana ubavu wa kuwashinda HBO, kesi ikiendeshwa kwa ngeli tu wangetoka knockoutHizi hukumu za madai kwa kampuni za Tanzania tu huwa hazilipwi, itakuwa kwa kampuni ya Marekani?
Ungeelewa hili ila mnasemaga sheria ngumu ukisoma sheria kuna course inaitwa private international law specifically kwenye recognition and enforcement of foreign judgement kama hizi nchi mbili wana makubaliano ya kurecognise na kuenforce simple tu watapata haki yaoKwanza kabisa hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania, kampuni ya Kimarekani.
Una enforce vipi hukumu ya madai iliyopitishwa na mahakama ya Tanzania kwenye kampuni ya Kimarekani ambayo haina biashara Tanzania?
Kwa wanasheria wetu hawa bado hawana ubavu wa kuwashinda HBO, kesi ikiendeshwa kwa ngeli tu wangetoka knockout
Great news kwa Soggy au Dataz?! Nauliza kwa sababu naona Soggy ni kama ameshirikishwa tu!Great news kwa Soggy, hakika hii itakuwa ni malipo stahili kwa hustle zake. Mwamba masimulizi yake husema kuna siku alilipwa sh milioni sijui tatu huko mwanza hakuamini kwa sababu show zake daima ilikuwa ni sh laki moja na nusu humo. Hatimaye mziki umemlipa sawa na hadhi yake.
Soggy ndie muandishi wa wimbo akamtafuta dataz kuperform, ila katika kesi walikuwa pamoja wote watagawana mchuzi.Great news kwa Soggy au Dataz?! Nauliza kwa sababu naona Soggy ni kama ameshirikishwa tu!
Uliza wana sheria!Kwanza kabisa hukumu imetolewa mahakama ya Tanzania, kampuni ya Kimarekani.
Una enforce vipi hukumu ya madai iliyopitishwa na mahakama ya Tanzania kwenye kampuni ya Kimarekani ambayo haina biashara Tanzania?