Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

Yeah I was suspecting something like this.
Wanachotakiwa kifanya ni kutafuta wanasheria wa Marekani watakao guarantee mambo yafuatayo.

1. Kesi ifunguliwe upya Marekani ili kuipa nguvu hukumu ya Tanzania iwe enforced Marekani.
2. Wanasheria wa Marekani wasilipwe kama kesi haitafanikiwa, walipwe tu baada ya kesi kufanikiwa Marekani.

Hao wanasheria wanaotafuta lawsuits Marekani wapo wengi sana, na kwa sababu wameshashinda kesi Tanzania, kuna msingi mzuri wa kuanzisha kesi Marekani na kushinda. Ila wajiandae tu wakishinda kuwapa asilimia fulani ya malipo yao wanasheria wa Marekani.
 
Wanachotakiwa kifanya ni kutafuta wanasheria wa Marekani watakao guarantee mambo yafuatayo.

1. Kesi ifunguliwe upya Marekani ili kuipa nguvu hukumu ya Tanzania iwe enforced Marekani.
2. Wanasheria wa Marekani wasilipwe kama kesi haitafanikiwa, walipwe tu baada ya kwsi kufanikiwa Marekani.

Hao wanasheria wanaotafuta lawsuits Marekani wapo wengi sana, na kwa sababu wameshashinda kesi Tanzania, kuna msingi mzuri wa kuanzisha kesi Marekani na kushinda. Ila wajiandae tu wakishinda kuwapa asilimia fulani ya malipo yao wanasheria wa Marekani.
Well said
 
Wabongo wajuaji s rahis kihivo kulipwa kesi za hapa hapa bongo inakuwa ngumu hukumu kufatwa sembuse kwa kampuni ya kimarekani Kwan ata mzee magoma si ameshinda kesi na hana kitu cha kufanya
 
Mbona unaashumu kushindikana tu? Kwanini usiashumu kulipwa haraka bila mkwamo? Wale sio waswahili they have got reputation to protect, payment is swift and instant after exhausting all possible legal avenues.
Marekani haitambui hukumu za mahakama za kigeni na haijasaini mkataba wowote wa kutambua hukumu hizo.

Njia pekee ya ku enforce hukumu hizo ni kuanzisha kesi mpya katika mahakama husika za Marekani.

HBO hawataki kuonekana hawajali, na pia wanataka kesi ikienda mahakama ya Marekani wawe na msemonkwamba kesi ya Tanzania ikienda vipi, ina mapungufu gani, etc, lakini wanajua hilo.
 
Nakwambia hivii, hapo Tanzania tu watu wanashinda kesi za madai na hawapewi haki zao, itakuwa huko nje ambako hata hiyo recognition of foreign judgement uliyoitaja hujui kama ipo na kama ipo ipo vipi?

Wamarekani wana visa sana kwenye sheria, wanajiona mfumo wao tu ndio unatoa haki huko kwingine kote takataka, wanakataa hata sheria za kimataifa kuwahusu askari wao wanaofanya vibaya vitani, itakuwa hizo sheria za Tanzania ambazo wao wanaona zinatoka kwenye mahakama za kufuata amri kutoka juu?

Hiyo kampuni ingeshitakiwa kwenye mahakama ya Marekani kungekuwa na uwezekano mkubwa wa kulipa.

Hizi mahakama za Tanzania Mmarekani akisema tu nimeonewa kwa sababu wamemtetea mtu wao kwao kinyume na haki hukumu haina nguvu Marekani hiyo.

Mpaka hapa kila kitu nimeandika kutoka kichwani kwa uzoefu wangu wa kufuatilia mambo tu.

Sasa naweka references za kisheria, yafuatayo si yangu tu, ni sheria.

Uzuri wa Marekani kila kitu kipo mtandaoni. Nimeona nisiandike kutoka kichwani tu, nikupe sheria ya Marekani inavyosema.

Wanasema hivii.

"Under U.S. law, an individual seeking to enforce a foreign judgment, decree or order in this country must file suit before a competent court."

"The United States is not party to any treaty on the recognition and enforcement of foreign judgments, nor are there federal laws governing foreign judgments."

Maana yake ukitaka ku enforce judgement, decree au order ya mahakama ya nje nchini Marekani, inabidi u file suit upya Marekani.
Mkuu umemaliza kila kitu apa mjadala ufungwe huu
 
Ila hela ndogo sana, HBO wanaweza kuamua kulipa kuepuka usumbufu bila hata ya kesi kwenda Marekani.

Huo ni mshahara wa lawyer mmoja tu, tena very junior, wa HBO.

Wanaweza kuona kuendelea na kesi kutakuwa na gaharama kubwa kifedha na kwenye reputation kuliko kulipa hizo pesa.

That is about $250,000.
 
Duuh wangeenda kufungua kesi US kwenyewe ,wawasafirishe wanasheria huko huko! Je wana copyright wa huo wimbo kutoka COSOTA/RIAA?
Watu wengi hawajui kuwa mtu anaweza kuwa ni msanii aliyeimba wimbo fulani, lakini akawa hana publishing rights za huo wimbo.

Na msanii wa Tanzania anaweza kuwa kaimba wimbo ambao hana ownership ya masters zake, na hana publishing rights, katapeliwa/ kasainishwa mikataba mibaya na wajanja wa Tanzania tu ambao wamechukua hizo masters, wana copyright na publishing rights.

Inawezekana Ukakuta HBO washamlipa mtu mwenye publishing rights kwao Marekani huko, na matatizo ni kuwa msanii katapeliwa huko kwenu Tanzania na watu waliochukua publishing rights zake kwa kumsainisha mikataba ya kinyonyaji ya kumpa pesa ndogo sana.

Wasanii kama kina Soggy wengine walikuwa wanasaini mikataba na wahindi wanapewa milioni mbili, tatu, wanamuacjia masters na publishing rights muhindi.
 
Wasanii kama lina Soggy wengine walikuwa wanasaini mikataba na wahindi wanapewa milioni mbili, tatu, wanamuacjia masters na publishing rights muhindi.

Kabisa Kiranga ,inabidi kina soggy kabla ya kufungua kesi US waangalie hivyo vitu ,huenda mtu kati mwenye copyright/publishing rights kashakula chake kwa HBO ,wasanii wengi hawajitambui/hawana elimu ya copyright/publishing rights wao wanachowaza tu aingie studio kurekodi kisha apeleke record radio ichezwe apate show aingize maokoto ,hawapati hata royalty/dididend kwa kazi zao walizotapeliwa na ma producers au mtu kati....Pfunk Majani nyimbo nyingi za wasanii waliokuwa bongo records ni mali zake...usikute producer wa huo wimbo kashachukua chake HBO.
 
Hili swali ungeuliza wakati kesi inaanza....

Ili wapate haki yao ipasavyo inabidi waende kufungua kesi US ,ndiyo maana nikauliza hilo swali maana kesi bado MBICHI sana...Kesi za US kuhusu haki miliki inabidi uwe na proof ya uhalali wa kazi yako.
 
Kabisa Kiranga ,inabidi kina soggy kabla ya kufungua kesi US waangalie hivyo vitu ,huenda mtu kati mwenye copyright/publishing rights kashakula chake kwa HBO ,wasanii wengi hawajitambui/hawana elimu ya copyright/publishing rights wao wanachowaza tu aingie studio kurekodi kisha apeleke record radio ichezwe apate show aingize maokoto ,hawapati hata royalty/dididend kwa kazi zao walizotapeliwa na ma producers au mtu kati....Pfunk Majani nyimbo nyingi za wasanii waliokuwa bongo records ni mali zake...usikute producer wa huo wimbo kashachukua chake HBO.
Hili jambo ni kubwa sana, si Tanzania tu, kimataifa.

Ndiyo maana unakuta kwa sasa msanii kama Taylor Swift anarekodi upya nyimbo zake za zamani ambazo hana rights fulani.

Anarekodi nyimbo upya, jina lile lile, anaongeza tu "Taylor's Version".

Yani zile nyimbo zake za zamani ambazo hazina "Taylor's Version" hana rights, lakini anaruhusiwa kuzirekodi tena (kwa sababu ni zake), na akizirekodi tena anakuwa anaweza kuwa na masters/publishing rights vizuri.

Haya mambo yametokea sana kwa sababu hawa wasanii wanapoanza wanakuwa wasanii wadogo hawajulikani wanataka kutoka, hata hawajui kama watapata mafanikio, wakifanikiwa ndiyo wanajua kuwa wakisaini mikataba mibaua.
 
Marekani haitambui hukumu za mahakama za kigeni na haijasaini mkataba wowote wa kutambua hukumu hizo.

Njia pekee ya ku enforce hukumu hizo ni kuanzisha kesi mpya katika mahakama husika za Marekani.

HBO hawataki kuonekana hawajali, na pia wanataka kesi ikienda mahakama ya Marekani wawe na msemonkwamba kesi ya Tanzania ikienda vipi, ina mapungufu gani, etc, lakini wanajua hilo.

Shauri lilianzia kwenye arbitration HBO walikuwa wanataka kulimaliza ila hawakukubaliana kiasi cha malipo wakaenda mbele sasa kwa mh jaji. Hiyo inakupa mwanga kuwa Jamaa wamekula bingo.
 
Nani kala bingo? Kala bingo kivipi wakati judgement bado haiko enforceable Marekani?
 
Watu wengi hawajui kuwa mtu anaweza kuwa ni msanii aliyeimba wimbo fulani, lakini akawa hana publishing rights za huo wimbo.

Na msanii wa Tanzania anaweza kuwa kaimba wimbo ambao hana ownership ya masters zake, na hana publishing rights, katapeliwa/ kasainishwa mikataba mibaya na wajanja wa Tanzania tu ambao wamechukua hizo masters, wana copyright na publishing rights.

Inawezekana Ukakuta HBO washamlipa mtu mwenye publishing rights kwao Marekani huko, na matatizo ni kuwa msanii katapeliwa huko kwenu Tanzania na watu waliochukua publishing rights zake kwa kumsainisha mikataba ya kinyonyaji ya kumpa pesa ndogo sana.

Wasanii kama kina Soggy wengine walikuwa wanasaini mikataba na wahindi wanapewa milioni mbili, tatu, wanamuacjia masters na publishing rights muhindi.
Mbona wameshinda kesi
 
Back
Top Bottom