Udhulumu mwingine alafu umrungue tena...maajabu ya Dunia haya.Hivi hii nchi haina snipers! Maadui wote hawa wanaofungua kesi za kuidhulumu nchi maskini walitakiwa wawe wamepelekwa 'resting room'...
Kama watu wasipoishi kwa kukupenda, inabidi waishi kwa kukuogopa.
Hii principle imemsaidia sana North Korea..
Hapana jamani nilisoma zamani Sana Sana hii issue!! Kuna makusa makubwa Sana yalifsnyika hapo nyuma!! Mimi nilisoma zamani Sana hii na nikisha andika uziNever heard of it. Usikute ni madai hewa. Huko serikalini kuna watu wa hovyo asikwambie mtu.
Nafikiri ni mikataba ya madini iliyovunjwa!!Thread Ya Namna Hii Ccm Hupita Na Magenge Yao Ila Hawasemi Kibwagizo Chetu Kuwa Anaupiga Mwingi, Anaifungua Tanzania
Mikataba Ni Mwiba Kwa Nchi Hawa Watia Saini Wanapumbazwa Na Nini Mpaka Sisi Tuwe Mwakuliwa Siku Zote, Fungu La Kukosa.
Mlimani City Watu Walikuja Na Laki Moja Wakavuna Cash Ndefu Tena Chuo Kikuu Kwenye Wasomi Tele Wakitumbua Macho
Jiwe alivunja.mikataba kizembe ,na aliambiwa hakuelewaHii ndio kazi ya Tundu Lissu huko ughaibuni siku zote.
Wewe pamoja na kuwa hai ila hauna impact yeyote ile hapa duniani zaidi ya kulialia tu.Lile jamaa linaliwa na wadudu,huku limeacha nchi inateseka kwa madhara ya mambo yake, lenyewe limebaki mifupa, halitalipa hata mia
Kwani johnthebaptist,kulwa jilala, etwege, magonjwa mtambuka, countrywide, ussr, wanasemaje? Isijekua mleta mada unaleta chokochoko!!Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.
Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.
My Take.
1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?
2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?
3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..
Dawa ya deni ni kulipa
Na bado !! Deals ??! Au ?Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.
Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.
My Take.
1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?
2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?
3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..
Ile ya Afrika Kusini tulishinda na tulilipwa! Ila sijui pesa ziliwekwa akaunti ya nani.Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.
Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.
My Take.
1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?
2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?
3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..
Usimba na Uyanga unaendelea mpaka kwenye masilahi ya Nchi !! Viongozi wa TZ wana raha sana !! Timu moja inalinda legacy timu ya pili inaiponda legacy maisha yanaenda na huku wajanja wanaendelea na deals zao as usual !! Watanzania bado hawajui nini hasa wanakihitaji mpaka sasa !!Walinda legacy wengi wameshatepeta🤔
Hapo sasa !!Ile ya Afrika Kusini tulishinda na tulilipwa! Ila sijui pesa ziliwekwa akaunti ya nani.
Mpaka tupate dikiteta muadilifu !!Tz hatutakaa tuwe na adabu kama hatutaanza kunyonga japo watu 5 wa kada za mawaziri na makatibu wakuu ili tuweze kuelewana! I swear!
Hatar sana. !Wewe pamoja na kuwa hai ila hauna impact yeyote ile hapa duniani zaidi ya kulialia tu.
Haaaa haaaa magazeti yanapiga kayamba na zeze huku bunge likiwa busy kwenye kusifu na kuabudu . Nchi yetu tuiombee. Yule bibi kwenye mjengo ukiisema serikali anajivika uendawazimu anavyobinuka na wewe kuiteteaHivi hii ndege bado imeshikiliwa huko Ulaya au deni limelipwa? Naona hata magazeti yetu hayana ubavu wa kuandika juu ya suala hili!
Hivi HAYATI SI alituambia ndege tumenunua kwa fedha zetu wenyewe? Akasisitiza tumelipa cash money?Hamna cha kuwalipa hao mabeberu kanzu, maana wakati mkataba umeamdikwa hao wachukuwe 97% na Tanzania [emoji1241] ipate 3% only walifurahi na kujiona wajanja wa gololi kwa almasi, hahaha [emoji2957] imekula kwao sasa, haki ni ya Mwenye Enzi Mungu walahi
Ndege zenyewe hatuja maliza mkopo kwa hiyo bado hazijakuwa za kwetu, uwiii watalamba mchanga kwa kweli!
Hizi ni deals zinasukwa na watu aina ya lissu wakishirikiana na vigogo ndani ya nchi. Mbona jpm akiwa hai hutukuona mambo ya aina hii. Wanasheria wa nchi saa hizi badala ya kutetea maslahi ya nchi wanapanga dili kupata hela. Unafikiri kwa nini mwanasheria nguli na mzalendo kama kabudi wamemuweka pembeni?Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.
Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.
My Take.
1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?
2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?
3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..
Huyo unayetaka anyonge naye anatakiwa anyongwe sasa nani ataanza kumnyonga mwenzake.Tz hatutakaa tuwe na adabu kama hatutaanza kunyonga japo watu 5 wa kada za mawaziri na makatibu wakuu ili tuweze kuelewana! I swear!