Tetesi: Kampuni ya Indiana Mining imesema haitasita kukamata ndege za Tanzania kama haitalipwa madai yao

Tetesi: Kampuni ya Indiana Mining imesema haitasita kukamata ndege za Tanzania kama haitalipwa madai yao

Hivi hii nchi haina snipers! Maadui wote hawa wanaofungua kesi za kuidhulumu nchi maskini walitakiwa wawe wamepelekwa 'resting room'...
Kama watu wasipoishi kwa kukupenda, inabidi waishi kwa kukuogopa.
Hii principle imemsaidia sana North Korea..
Udhulumu mwingine alafu umrungue tena...maajabu ya Dunia haya.
 
Ukiuliuza faida ya KUFUFUA Shirika la ndege la ATCL ni nini huwezi pata majibu yenye tija hata kidogo hapo ndio unajua unaweza kuwa na elimu lkn usiwe umeelimika hata kidogo ukitizama MTAJI ulio wekwa kununua hizo NDEGE zote kuanzia mwaka 2016 hadi sasa na ukiangalia maisha ya kawaida ya WATANZANIA walio wengi yalivyo ukichukua mtaji huu wote walio weka kununua hizi peaces of shirts plus hasara inayo tokana na operational na management ya hili shirika unajiuliza maswali mengi sn upati jibu hata kidogo na baado wananua zingine.

Boing 787-8 2
Boing 767 cargo 1
AirBus A 220 3
Dash 8 5

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Indiana Mining kutoka Australia, Bi. Bronwyn Barnes, amesema Hatasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania, Air Tanzania, ikiwa Serikali Itashindwa Kuilipa Fidia ya Dola za Marekani milioni 98.83 (Tsh bilioni 231.7) kwa hasara ya uwekezaji wao nchini.

“Tanzania ilichukua Mali zangu..nina furaha kufanya kama walichonifanyia”. - amesema Bi. Barnes.

Mnamo Julai 2017, Serikali ya Tanzania ilifanyia marekebisho Sheria ya Madini ya 2010 kwa, pamoja na mambo mengine, kufuta msingi wa kisheria wa uainishaji wa Leseni ya Uhifadhi bila uainishaji mbadala.

2018, Januari 10, Tanzania ilichapisha Kanuni za Madini (Mineral Rights) za 2018, ambazo zilifuta Leseni zote za Uhifadhi zilizotolewa kabla ya tarehe 10 Januari 2018 ambapo zilikoma kuwa na athari yoyote ya kisheria na haki zote zikahamishiwa Serikali ya Tanzania.

2019, Disemba 19, Tume ya Madini ya Tanzania ilitangaza mwaliko wa umma wa kutoa zabuni kwa ajili ya uendelezaji wa pamoja wa maeneo yaliyokuwa yakimilikiwa na leseni za uhifadhi.

Hapo awali, zabuni hiyo ilikuwa na masharti kuwa mzabuni atakayeshinda atamfidia mmiliki wa leseni wa awali gharama zake za uchunguzi (exploration costs). Sharti hili liliondolewa baadaye.

Bosi wa Indiana Mining akatoa taarifa yake:-

“Sasa ni wazi kwamba Tanzania imeondoa umiliki wa mradi kutoka kwa wawekezaji, na kwa kufanya hivyo imekiuka wajibu wake kwa wawekezaji chini ya BIT [mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili] na sheria za kimataifa.”

Nimesikitishwa sana kwamba Serikali ya Tanzania imefuta leseni yetu ya kubakiza na baadaye kutangaza mradi huo kwenye tovuti yake kama unapatikana kwa wawekezaji wapya bila mashauriano.”

Malalamiko hayo yaliyofikishwa kwenye Kituo cha kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji, ICSID, kampuni hiyo inadai fidia ya Dola za Marekani milioni 98.83 (Tsh bilioni 231.7) kwa hasara ya uwekezaji wao nchini (pamoja na riba hadi Julai 2022).

Kulingana na Barnes, kampuni yake hadi kufikia mwaka 2020 ilikuwa imewekeza zaidi ya AUD$60m (Tsh. Bilioni 95) katika mradi wake wa Nikeli wa Ntaka Hill huko Nachingwea.

The African Report
 
Never heard of it. Usikute ni madai hewa. Huko serikalini kuna watu wa hovyo asikwambie mtu.
Hapana jamani nilisoma zamani Sana Sana hii issue!! Kuna makusa makubwa Sana yalifsnyika hapo nyuma!! Mimi nilisoma zamani Sana hii na nikisha andika uzi
 
Thread Ya Namna Hii Ccm Hupita Na Magenge Yao Ila Hawasemi Kibwagizo Chetu Kuwa Anaupiga Mwingi, Anaifungua Tanzania

Mikataba Ni Mwiba Kwa Nchi Hawa Watia Saini Wanapumbazwa Na Nini Mpaka Sisi Tuwe Mwakuliwa Siku Zote, Fungu La Kukosa.
Mlimani City Watu Walikuja Na Laki Moja Wakavuna Cash Ndefu Tena Chuo Kikuu Kwenye Wasomi Tele Wakitumbua Macho
Nafikiri ni mikataba ya madini iliyovunjwa!!
 
Lile jamaa linaliwa na wadudu,huku limeacha nchi inateseka kwa madhara ya mambo yake, lenyewe limebaki mifupa, halitalipa hata mia
Wewe pamoja na kuwa hai ila hauna impact yeyote ile hapa duniani zaidi ya kulialia tu.
 
Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.

Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.

My Take.

1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?

2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?

3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..

Kwani johnthebaptist,kulwa jilala, etwege, magonjwa mtambuka, countrywide, ussr, wanasemaje? Isijekua mleta mada unaleta chokochoko!!
 
Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.

Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.

My Take.

1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?

2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?

3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..

Na bado !! Deals ??! Au ?
 
Ile ya Afrika Kusini tulishinda na tulilipwa! Ila sijui pesa ziliwekwa akaunti ya nani.
 
Walinda legacy wengi wameshatepeta🤔
Usimba na Uyanga unaendelea mpaka kwenye masilahi ya Nchi !! Viongozi wa TZ wana raha sana !! Timu moja inalinda legacy timu ya pili inaiponda legacy maisha yanaenda na huku wajanja wanaendelea na deals zao as usual !! Watanzania bado hawajui nini hasa wanakihitaji mpaka sasa !!
 
Hivi hii ndege bado imeshikiliwa huko Ulaya au deni limelipwa? Naona hata magazeti yetu hayana ubavu wa kuandika juu ya suala hili!
Haaaa haaaa magazeti yanapiga kayamba na zeze huku bunge likiwa busy kwenye kusifu na kuabudu . Nchi yetu tuiombee. Yule bibi kwenye mjengo ukiisema serikali anajivika uendawazimu anavyobinuka na wewe kuitetea
 
Hamna cha kuwalipa hao mabeberu kanzu, maana wakati mkataba umeamdikwa hao wachukuwe 97% na Tanzania [emoji1241] ipate 3% only walifurahi na kujiona wajanja wa gololi kwa almasi, hahaha [emoji2957] imekula kwao sasa, haki ni ya Mwenye Enzi Mungu walahi
Ndege zenyewe hatuja maliza mkopo kwa hiyo bado hazijakuwa za kwetu, uwiii watalamba mchanga kwa kweli!
Hivi HAYATI SI alituambia ndege tumenunua kwa fedha zetu wenyewe? Akasisitiza tumelipa cash money?
 
Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao.

Mwenyekiti Mtendaji wa Indiana Mining Brownywn Barnes amesema atachukua hatua hiyo ikibidi ikiwa Kampuni yake Haitalipwa Award yake kwenye case aliyoshinda yenye namba "ICSID Award" Kwa kile alichodia Tanzania ilichukua Mali zake.

My Take.

1.Serikali Mko wapi mje kutoa Ufafanuzi? Hizi kesi ni za nini?

2.Mbona mambo haya yanaibuka Sasa? Je Kuna watu wanafanya connection Ili wanamufaike Kwa udalali?

3.Mwisho ni Bora Serikali ikaenda Bungeni na kueleza Umma kesi zote za Nje inazodaiwa, inazodai na inazoendelea na mashauri Ili Watanzania wajue maana Sasa imekuwa too much..

Hizi ni deals zinasukwa na watu aina ya lissu wakishirikiana na vigogo ndani ya nchi. Mbona jpm akiwa hai hutukuona mambo ya aina hii. Wanasheria wa nchi saa hizi badala ya kutetea maslahi ya nchi wanapanga dili kupata hela. Unafikiri kwa nini mwanasheria nguli na mzalendo kama kabudi wamemuweka pembeni?
Kutazuka kila aina ya madai nchi itageuzwa shamba la bibi. Mtu eti anadai kanyang'anywa mali na serikali. Ukichunguza lazima kuna utaratibu kisheria umefuatwa.
Kama sijakosea tulipitisha sheria nchi kutoshitakiwa kesi za madai nchi za nje.
 
Back
Top Bottom