Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Kampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..

Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia
 
Kwa Tanzania Kampuni ni Sportpesa tu Hana mpinzani
 
dah pole mi nabeti kampuni kubwakubwa tu, meridian, sportpesa, sportybet ubabaishaji ni mdg kulinganisha na hizo kampuni njaa, nliwahi wapigia kampuni moja kueleza shida ila ela ikakata, wakati naunga kifurushi nipige tena wakanpigia wao na wakasolve issue yangu
 

Kampuni super ambayo hata bilioni moja ukishinda inaingia muda huo huo kwenye account yako ni sport pesa tu, wengine wengi ni magumashi tu!
 
Wakuu nifundisheni jinsi ya kubet, Hali ni Ngumu Wallah [emoji30]. Ñafanyaje nijifunze kubet Wakuu. Sio utani namaanisha Wakuu
 
pole dada

mie pia nimekuwa naitumia kwa muda mrefu, ila wiki iliyopita yote nimewin kama laki4, haitoki nimeamua kuimalizia humo humo.

wanaonekana ni wezi kweli, nimefunga hiyo acc.
Mkuu nifundishe na mm nijue hii kamali. Uliweka kiasi Gani mpka ukadaka hii laki4??
 
Kampuni ya Pigabet kwa sasa tunashughulikia suala la kutoa fedha kupitia mitandao ya simu.
Utoaji wa fedha bado unaendelea kwa wateja wetu kupitia mfumo wa fedha taslimu kwenye kasino zetu yaani Palm beach pia Legrande zilizoko Dar es salaam,tunaomba radhi kwa changamoto hii.
Utoaji wa fedha kwa njia ya mitandao utarudi hivi karibuni
Tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255 620 818181 ni furaha yetu kukuhudumia.
 
Piga bet number 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…