Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Poleni sana wacheza kamali
Afadhali nifanye kazi ya kipato cha halali ila sio kubeti
 
Wengine ni wahuni tu 😆🤣
 
Usibetie hela ya Kodi
 
Kampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..

Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia
Na betpawa wako vizuri kwenye malipo
 
Sportpesa nao ni wezi flani hivi wa kung'ata na kupuliza serikali liangalieni
 
Kampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..

Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia
usisifie kampuni ya kamari, hawana huruma hao.
 
Mimi nilibet betway sasa baada ya kuhisi mkeka unaenda kufa nikafanya cash out na ikakubali kabisa cha kushangaza mhamala haujaingia kwenye akaunti na mkeka wameuondoa kabisa haupo kwenye list ya open bets, settled bets wala transactions history nikawacheki wakaniambia notume namba ya simu nikawatumia baadae wakanirudishia notification ya mkeka ambao nilicash out siku nyingi tu na hakuna mhamala wowote ulioongezeka nikawacheki tena nikawaambia sio mkeka huo wakaniambia nitume namba ya mkeka nikawaambia mkeka wameuondoa kabisa haupo kabisa sasa iyo namba ya mkeka nitaijuaje nifanye kazi ya kukalili namba ya mikeka kila ninapobet? Wakaniambia nitume screenshot ya transaction history nikawatumia wakasema nisubiri ikapita siku nzima nikawacheki tena vipi wakaniambia niendelee kusubiri ndo mpaka leo hii hawajanipa pesa yangu
 
Duuuuh
 
Ndugu yangu rejea jina la kampuni Pigabet
Ndio maana umepigwa
😂😂😂😂😂
 
Sipati picha mwanaume mwenye mahusiano na binti anaye-bet!!

Mizinga ni mwendo mdundo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…