Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Kila wakati ninawakumbusha tumieni meridian, sportpesa, sportybet na premierbet. Huko hakuna longolongo.

Hata ukila kiasi kikubwa ndani ya saa 24 muamala unakuwa umeshatumika kumwagilia moyo. Hizi milioni chini ya 10 ukila muamala unaingia kwako sekunde hiyohiyo
Mkiendelea kulialia mnazingua msijesema sijawaambia mapema.
 
Unaposema umeibiwa inaweza ikawa kweli umeibiwa au unaweza ukawa ni Mmiliki wa Sportspesa au any other betting firm unaleta mambo ya kuchafuana...

Hawa jamaa wanakula pesa zako legally bila jasho kwao kumdhulumu mteja huenda ikawa ni hasara kuliko wangetangaza wamemlipa kila mtu ajue ili waendelee kuvuna wateja
 
Tumekwisha jamani wa tz Kwa Sasa vina bet Hadi vibabu na mikongojo yao SI hatari hii.
 
Mimi nishaachana nao hao kitambo saiv nipo sportybet
 
Duh! Pole sana. Lakini si tayari umeshawajulisha ID yako ya JF?
 
I wonder if wakifanya hivyo hawakwepi kodi. TRA Tanzania waje watujuze. Sifahamu utaratibu uliopo, lakini pesa mfano kushinda pesa ya bahati nasibu, kodi hukatwa kama sikosei.
 
Hii kampuni nahisi wanataka kufanya utapeli kama Qnet.

Siku ya Jumatatu nilibet na kushinda Tsh 100,000 baada ya kuweka 10,000. Baada ya kufanya withdrawal, ikaandka kuwa nimetoa kiasi cha pesa na ilipaswa ionyeshe kwe airtel money yangu. Cha ajabu pesa haikuingia Airtelmoney na toka ni kama vile site yao ipo down.

Kama wahusika wamo humu, ni bora kutoa taarifa kama kuna hitilafu tofauti na hapo tutakuchukulieni matapeli tu.
 
Hii kampuni nahisi wanataka kufanya utapeli kama Qnet.

Siku ya Jumatatu nilibet na kushinda Tsh 100,000 baada ya kuweka 10,000. Baada ya kufanya withdrawal, ikaandka kuwa nimetoa kiasi ch....
Mimi hao niliachana nao sasa hivi ni sportybet.. uko betway nilifanyaga cash out na ikaonesha kabisa cashout successfully cha kushangaza salio kwenye akaunti halijaongezeka na mkeka niliocashout haupo kwenye list ya open bets wala settled nikawataarifu wakanipiga blah blah tu mpaka leo hela yangu hawajanipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…