Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

Kwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Hilo halimuhusu..., walipe pesa, hizo goli zingerudishwa na wakaongoza wangerudisha hiyo laki?
 
Zaleo meridianbet bet ni wezi wamenizulumu 42300 Tshs Leo tarehe moja mwezi wa nne 2023 nilibet live betting kwenye meridianbet app kuwa Bayern ashinde ilikuwa dakika ya 26 na Bayern alikuwa anaongoza tatu bila na odd ilikuwa 1.47 nikaweka stake 100,000. Baada ya kodi ikaja 142,300. Baadaya ya mechi kuishi hawajanilipa hela yangu ila wamenirudishia Ile stake 100,000 niliyobetia
Haiwezekani, 1.47 ni kubwa sana kwa team inayoongoza 3-0.. hapo system itakuwa imechelewa kufanya update..
 
Ww ndo muongo umecash out hiyo hela huenda ulikuwa hujui mida ya saa mbili kasoro
 
Kama kabla ya mchezo Bayern alipewa odds 1.53 za kama angeshinda. Iweje aongoze goli 3-0 na odds zake ziwe 1.47 kitu ambacho ni kigumu kutokea? Ukweli ni kuwa mifumo ilijikoroga na wala hakuna cha wizi kwani hata hiyo pesa yako ilirudishwa kabla hata ya dk 90 za mchezo kukamilika.
 
Kwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Sasa uzembe wa nani hapo...mbna mtu akikosea stake hairudi
 
Kama kabla ya mchezo Bayern alipewa odds 1.53 za kama angeshinda. Iweje aongoze goli 3-0 na odds zake ziwe 1.47 kitu ambacho ni kigumu kutokea? Ukweli ni kuwa mifumo ilijikoroga na wala hakuna cha wizi kwani hata hiyo pesa yako ilirudishwa kabla hata ya dk 90 za mchezo kukamilika.
Jamaa yupo sahihi huo ni uzembe wao yeye hausiki...ingekuwa pesa kubwa akienda mahakamani anashinda
 
Back
Top Bottom