BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Kwahiyo unataka kwenda gamind board kwa sababu ya 42000 na wakidai ya maji utaacha sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Hilo halimuhusu..., walipe pesa, hizo goli zingerudishwa na wakaongoza wangerudisha hiyo laki?Kwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Haiwezekani, 1.47 ni kubwa sana kwa team inayoongoza 3-0.. hapo system itakuwa imechelewa kufanya update..Zaleo meridianbet bet ni wezi wamenizulumu 42300 Tshs Leo tarehe moja mwezi wa nne 2023 nilibet live betting kwenye meridianbet app kuwa Bayern ashinde ilikuwa dakika ya 26 na Bayern alikuwa anaongoza tatu bila na odd ilikuwa 1.47 nikaweka stake 100,000. Baada ya kodi ikaja 142,300. Baadaya ya mechi kuishi hawajanilipa hela yangu ila wamenirudishia Ile stake 100,000 niliyobetia
Ushawai cheza hii michezo?Hilo halimuhusu..., walipe pesa, hizo goli zingerudishwa na wakaongoza wangerudisha hiyo laki?
💯Kwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Tafuta lawyer uwapeleke kortini.Shida ya mfumo inahusiana vipi na haki yangu, kwanimimi nahusika na mifumo yaoo
Ushahidi anao, hapo mchawi wakili tu, build a case from therehapo ukiwa mbishi unaweza kuwachota pesa nyingi sana
Na Angeliwa je system ingerudisha pesa?Nakazia
Je Angeliwa?? Hela isingekatwa?Kwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Point… hapa ni lawyer tu.Je Angeliwa?? Hela isingekatwa?
Sasa uzembe wa nani hapo...mbna mtu akikosea stake hairudiKwa Bayern kua mbele kwa goli 3-0 dak ya 26 na bado kua na odds ya 1.47 ni wazi kulikua na shida kwenye mfumo huenda ndio maana hili limetokea
Jamaa yupo sahihi huo ni uzembe wao yeye hausiki...ingekuwa pesa kubwa akienda mahakamani anashindaKama kabla ya mchezo Bayern alipewa odds 1.53 za kama angeshinda. Iweje aongoze goli 3-0 na odds zake ziwe 1.47 kitu ambacho ni kigumu kutokea? Ukweli ni kuwa mifumo ilijikoroga na wala hakuna cha wizi kwani hata hiyo pesa yako ilirudishwa kabla hata ya dk 90 za mchezo kukamilika.