#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Kirusi cha Corona na cha HIV.. vimefanana Sana kiasi ambacho kama chanjo ya Corona imepatikana basi ni wazi ya Ukimwi pia itakuwa imekwisha patikana pia
 
Haya ndo
Haya ndo maneno sasa!!
 
Unasubiri uletewe halafu unawaita mbwa!kwanini usingetengeneza mwenyewe ili uwaishe chanjo ya ukimwi?Ninyi wafuasi wa Hayati mnamatatozo sana
Kuna mtu kawaomba wailete, wanapokuwa wanatengeneza vimelea vya magonjwa huwa wanatuhusisha? kawambie nimewaogezea tusi jingine.....nguruwe wakubwa.
 
Kuna mtu kawaomba wailete, wanapokuwa wanatengeneza vimelea vya magonjwa huwa wanatuhusisha? kawambie nimewaogezea tusi jingine.....nguruwe wakubwa.
Kichaa akipora nguo zako ukaanza kumkimbiza ukiwa utupu wewe ndiwe utaonekana kichaa,
Nenda na nguo zangu mimi wacha niombe majirani wanistiri nikirudi nyumbani nitanunua nyingine.
Think!
 
Kichaa akipora nguo zako ukaanza kumkimbiza ukiwa utupu wewe ndiwe utaonekana kichaa,
Nenda na nguo zangu mimi wacha niombe majirani wanistiri nikirudi nyumbani nitanunua nyingine.
Think!
Wafikishie hizi spana nilizowashushia...
 
Chanjo ya Virusi vya Ukimwi (VVU) iliyokuwa inafanyiwa utafiti muda mrefu na Kampuni ya Moderna ya Marekani inatarajiwa kuanza majaribio kwa binadamu leo Jumatano, Agosti 18, 2021.

Hatua hii imekuja baada ya kampuni hiyo ambayo inatengeneza chanjo za aina mbili za Ukimwi, kufuzu hatua za awali za kimajaribio na hivyo kuanza kutumika kwa binadamu katika awamu ya tatu.

Chanjo hizo ni pamoja na mRNA-1644 na mRNA-1644v2-Core, ambazo zimeshachunguzwa na kufanyiwa majaribio ya awali na kuonekana salama kabla ya kujaribiwa kwa binadamu kwa mara ya kwanza.

Chanzo: Mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…