Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ya ngwengwe polepole na Gwajima watakuwa wa kwanza kuchanjaNgoja ije tuikatae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ngwengwe polepole na Gwajima watakuwa wa kwanza kuchanjaNgoja ije tuikatae
Chanjo ipi haijafanyiwa majaribio?Sidhani kama hii wataipinga kwa sababu inafanyiwa majaribio kwanza kwabla ya kuchanja watu.
Hicho kirusi sio cha kufanyiwa masihara kabisa 😄😄😄Hatari sana...
Taratibu tutafika tu huko...
Sijui na hii chanjo ya ukimwi itakua kama ya Corona kudungwa virusi vya ukimwi ati ndiyo chanjo...
Corona ni janga la dunia nzima ila watu wanapinga chanjo za corona, unadhani itashindikana kupinga na chanjo za ukimwi?Na hii ya Ukimwi watu wajifanye wanaikataaaa
Gwaji boy na slow slow wataipinga
Kirusi cha Corona na cha HIV.. vimefanana Sana kiasi ambacho kama chanjo ya Corona imepatikana basi ni wazi ya Ukimwi pia itakuwa imekwisha patikana piaKampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya Ukimwi Jumatano ijayo.
Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo itakua na mafaikio makubwa kwani hii teknolojia mpya ina faida kubwa zaidi kuliko chanjo nyingine zilizokua zinatengenezwa huko nyuma.
Mordena wanasema chanjo utaanza mwaka huu na inatarajia kuisha mwaka 2023. Kampuni nyingi za madawa ya binadamu ziko ama zimeanza majaribio ya chanjo ya ukimwi na kuna matumaini makubwa ya kufanikiwa.
Hii ni habari njema.
Pumzik kwa amani JPM
Haya ndo maneno sasa!!Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya Ukimwi Jumatano ijayo.
Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo itakua na mafaikio makubwa kwani hii teknolojia mpya ina faida kubwa zaidi kuliko chanjo nyingine zilizokua zinatengenezwa huko nyuma.
Mordena wanasema chanjo utaanza mwaka huu na inatarajia kuisha mwaka 2023. Kampuni nyingi za madawa ya binadamu ziko ama zimeanza majaribio ya chanjo ya ukimwi na kuna matumaini makubwa ya kufanikiwa.
Hii ni habari njema.
Kuna mtu kawaomba wailete, wanapokuwa wanatengeneza vimelea vya magonjwa huwa wanatuhusisha? kawambie nimewaogezea tusi jingine.....nguruwe wakubwa.Unasubiri uletewe halafu unawaita mbwa!kwanini usingetengeneza mwenyewe ili uwaishe chanjo ya ukimwi?Ninyi wafuasi wa Hayati mnamatatozo sana
Bila kujua kumbe ndio anafanyiwa utafitiMtu mweusi anasubiria hiyo chanjo itoke aipinge bila hata tafiti![emoji205][emoji205][emoji205]
Kichaa akipora nguo zako ukaanza kumkimbiza ukiwa utupu wewe ndiwe utaonekana kichaa,Kuna mtu kawaomba wailete, wanapokuwa wanatengeneza vimelea vya magonjwa huwa wanatuhusisha? kawambie nimewaogezea tusi jingine.....nguruwe wakubwa.
Wafikishie hizi spana nilizowashushia...Kichaa akipora nguo zako ukaanza kumkimbiza ukiwa utupu wewe ndiwe utaonekana kichaa,
Nenda na nguo zangu mimi wacha niombe majirani wanistiri nikirudi nyumbani nitanunua nyingine.
Think!
Hahaha nitashangaa sana...Ya ngwengwe polepole na Gwajima watakuwa wa kwanza kuchanja
Uaminifu upi huo?Mimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Kwani unajiambukiza mwenyewe? Unaambukizwa na unayeamini hana. Ungeamini anao usingetembea nae bila kinga.Mimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Nani kakwambia ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono pekee?Mimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Uaminifu upi huo?
Ukimwi hauampukizi kwa njia ya ngono pekee.
90% mengine ni kujifarijiNani kakakwambia ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono pekee??