Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

========

NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
 
Gazeti la nchi gani hili mkuu🤔??

Kama ni tz nini chanzo? Je nini hatima ta mambo haya? Jana Dangote manusura afunge kakiwanda kake ka visiment leo hiki kikampuni☺😐?

Any way mwisho wa siku tutaona nani winner kati ya wanaoiombea shari serikali na sisi wazalendo.

#jr (uvccm - taifa)
 
Hivi mtu unajua kutumia smartphone vizuri, unanunua gazeti ili upate nini?

Labda wazee ambao kila ifikapo SAA 2 kamili katune TBC aangalie taarifa ya habari.

Toka Raiamwema lilivyofungiwa sijawahi kununua gazeti.
 
Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
Nimeota kijana mwenzangu umeteuliwa UDC pale Handeni Tanga...
 
Wakisitisha uuzaji basi ni athari kubwa kwa WATUMISHI NA WANAOWATEGEMEA....
 
Back
Top Bottom