Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao wanaoteuliwa wako duniani kwa AJILI YA KUTEULIWA?!!Siko duniani kwa ajili ya Kupata Madaraka au Uteuzi na sipendi Ukubwa. Nimeumbwa na Kupewa Tunu na Maulana / Mola ya Kuwashauri tu Watu.
Huyu social network mnamsingizia tu, kwenye nchi zenye demokrasia una subscribe online newspaper na unalipia miezi sita mbele.True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti
Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
😲Bado wale jamaa wa Tabata Relini, na vile nikutoka kwa macho mekundu, ndo basi kabisa,anawalia timing tu
Serikali inalaumiwa kwa kuzuia zabuni za matangazo yao kwenda sekta binafsi.Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Mkuu hivi bado unaishi Tanga?!!!Huyu social network mnamsingizia tu, kwenye nchi zenye demokrasia una subscribe online newspaper na unalipia miezi sita mbele.
Sasa madame nchi zilizo endelea unazifananisha na mambo ya kijinga zitake radhi tafadhali [emoji38]Huyu social network mnamsingizia tu, kwenye nchi zenye demokrasia una subscribe online newspaper na unalipia miezi sita mbele.
Mitano tena oyeee
Sasa madame nchi zilizo endelea unazifananisha na mambo ya kijinga zitake radhi tafadhali [emoji38]
Hizi nchi zetu tangu tupate Uhuru Huduma muhimu tu bado haba hazipatikani katika jamii mtaa ninao ishi huu sasa Ni mwezi wa 4 maji hayatoki
Sasa madame nchi zilizo endelea unazifananisha na mambo ya kijinga zitake radhi tafadhali [emoji38]
Hizi nchi zetu tangu tupate Uhuru Huduma muhimu tu bado haba hazipatikani katika jamii mtaa ninao ishi huu sasa Ni mwezi wa 4 maji hayatoki
Champion la shigongo mkuuHabari Leo hapana, hili ni la serikali.
Mtanzania sawa, pamoja na Dimba, Champion,
Mtanzania siku za karibuni walishaanza kuandika habari za kuibeba serikali na CCM, kama wamefikia hapa maana yake hali ya kiuchumi kwa mtanzania ni mbaya, serikali hii yenye mambo mengi peke yake haiwezi kuwabeba wote.Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
😲Good news
Kodi silipi ninaishi vipi sasa ilhali ikiwa serikali imeshajiwekea mfumo was kukata Kodi kwa wananchi kwa kila mahitaji ambayo mwananchi huyo atakayo kuwa anajipatia..mfano hata nikinunua kiberiti cha tsh100 dukani au vocha ya 500 tu serikali tayari inakuwa imesha jikatia makato yake ya Kodi so how comes unasema kwamba Kodi silipi !??sasa cha kushangaza nn apo, kodi unalipa 18% unasubiria 18% ijenge nchi nzima? yawezekana hata kodi hulipi, mfano states wanalipa mpaka 60% ya mshahara wao