stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Akili huna Kodi silipi ninaishi vipi sasa ilhali ikiwa serikali imeshajiwekea mfumo was kukata Kodi kwa wananchi kwa kila mahitaji ambayo mwananchi huyo atakayo kuwa anajipatia..mfano hata nikinunua kiberiti cha tsh100 dukani au vocha ya 500 tu serikali tayari inakuwa imesha jikatia makato yake ya Kodi so how comes unasema kwamba Kodi silipi !??
si unaona sasa, hio inaitwa indirect tax, unanunua kiberiti income unatoa wap, lazima ulipe direct tax! umeelewa?