Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Duh bora nilijitoaga mapema kwenye kazi za uandishi, moja ya gazeti lao niliandika makala yangu ya kwanza ilikuwa ikihusiana na ukuaji wa teknolojia utakavyoathiri biashara ya magazeti,
Kweli muda umeenda na mambo yamedhihiirika.

Maisha ya sahivi ni kwenda na gap tu hamna namna
Eti mtu kwaakili zake timamu kabisa anapinga kwamba hizi social media hazijaua soko la magazeti ... Wakati huo huo akiwa na tangazo lake la biashara ana kwenda kupost insta au Twitter ...what a skunk !?[emoji16]
 
Tupo vizuri munoo
Screenshot_20201204-133135_Twitter.jpg
 
Kama wanaandika habari za kusifu tu nani atanunua hayo magazeti?
 
Eti mtu kwaakili zake timamu kabisa anapinga kwamba hizi social media hazijaua soko la magazeti ... Wakati huo huo akiwa na tangazo lake la biashara ana kwenda kupost insta au Twitter ...what a skunk !?[emoji16]
Kila mtu ana uelewa wake ndo mana wakaweka mitihani
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Si kweli kwamba duniani kote magazeti hayauziki.
USA Today, The Wall Street Journal, The Yomiuris(Yomiuri Shimbun & Asahi Shimbun), Argumenty i Fakty, yanauzika sana tu.
 
Magazeti siku hizi hayauziki mitaani kwa sababu ya kuegemea upande mmoja
 
Back
Top Bottom