Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wameshindwa kuji-tune from analogy to digital baadae wailaumu serikali. Technology is rapid changing, ukikaa kushangaa, dunia itakushangaa wewe!!Ndo MAENDELEO hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshindwa kuji-tune from analogy to digital baadae wailaumu serikali. Technology is rapid changing, ukikaa kushangaa, dunia itakushangaa wewe!!Ndo MAENDELEO hayo.
Hayauzi kama miaka ya 90s. Huo ndiyo ukweliSi kweli kwamba duniani kote magazeti hayauziki.
USA Today, The Wall Street Journal, The Yomiuris(Yomiuri Shimbun & Asahi Shimbun), Argumenty i Fakty, yanauzika sana tu.
Juzi nilikutana na muuza magazeti anataka kupigana mtu, anamdau 200.Kwenye zama hizi unapaswa kuwa mwendawazimu ili ununue gazeti!
Kibaya zaidi hata wakimkubalia habari wanaoandika hazina mvuto kwa walaji. Najiuliza hao tunaambiwa million 12+ wamempa kura, wanakosekana hata watu milioni 3 kila siku wakununua habari za kusifia? Nilivyoona approach za huyu mheshimiwa kwenye uchumi nilijua tutarudi enzi za Nyerere. Ogopa sana mtu yuko karne ya 21, anatekeleza ndoto za Nyerere za karne ya 20.Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
5 tenaKampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Hao wanapewa ruzuku na Jiwe.hivi Musiba na tanzanite yake mbona hawafungi
Unalijua the daily mail la uingereza?nakala 600000 per day na kule kuna mitandao,nenda usa magazeti yanauza sanaLet's be realistic. Magazeti ni biashara ya kuuza habari, sasa kama mteja tayari anazijua hizo habari, kuna sababu gani ya yeye kununua? Unless kama unauza hadithi na sio habari. Hata western countries ambazo uhuru wa habari ni mkubwa, print media sasa hivi imeathirika sana.
Nilipiga kura yangu nilitarajia kura yangu ingeweza kumuondoa huyu anayetuaribia uchumi wetu, lakini wameiiba.Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Wale wanajitahidi kuumauma ili wauze.Bado wale jamaa wa Tabata Relini, na vile nikutoka kwa macho mekundu, ndo basi kabisa,anawalia timing tu
The private business sector is at moribund stage.The media sector is in trouble. Democracy is at stake. The constitution no longer matters. The lawyers and judges are dumb and mum. The judicial system is trusted no more. What is next?Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuangalia TV inayorusha. uchambuzi unaosema uchumi umekua halafu kwenye TOPIC hiyo uunamualika mtu kama polepole ambae Kula kwake ni hisani ya MwenyekitiMitandao imechangia kwa kiasi kikubwa mkuu take it or leave it ila huo ndio uhalisia ... Kwa mfano Mimi sasa hivi hata TV sitazami cuz habari zote nazipata online Twitter na hapa jf ... Imagine taarifa ambayo unaipata Leo jioni ndio unayo ipata kesho asubuhi katika magazeti ...so hauoni kwamba wanaosoma magazeti wanakuwa wapo outdated
Mbona magazeti ya Uhuru, Habari leo, na Daily News yanapeta licha ya kuwepo mitandao ya kijamii. Swali: "In which different business environment are these papers operating"?True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti
Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Wanapata ruzuku na matangazoMbona magazeti ya Uhuru, Habari leo, na Daily News yanapeta licha ya kuwepo mitandao ya kijamii. Swali: "In which different business environment are these papers operating"?
[emoji16]Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuangalia TV inayorusha. uchambuzi unaosema uchumi umekua halafu kwenye TOPIC hiyo uunamualika mtu kama polepole ambae Kula kwake ni hisani ya Mwenyekiti
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Acha ncheke wee! Duniani kuna mambo. By Bichuka.Nilipiga kura yangu nilitarajia kura yangu ingeweza kumuondoa huyu anayetuaribia uchumi wetu, lakini wameiiba.
Nikajiandaa kuandamana kuidai kura yangu kwa amani, wakanizuia nisisubutu.
Huenda wanafikiria nimekata tamaa....la asha. Kura yangu haiwezi najisiwa easy such a way.
Ni mapambano ya jeshi la mtu mmoja kimya kimya.
Rudisheni kura yangu sehemu nilikoikusudia.
Ruzuku? Pesa ya walipa kodi? "Very unfair".