Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Msemo wa kipumbavuu pumbavuMitano tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemo wa kipumbavuu pumbavuMitano tena
Mitandao sio Sababu tatizo habari wanazoandika zakijinga ndio maana watu wenye akili hawanunui magazetiTrue hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti
Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Uchumi wa kati unakula vichwa dadeki!Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Uchambuzi usio bias habari za uchunguzi umewahi kuzipata wapi tangu jiwe awe mamlakani... imefikia hatua mpaka Warioba alilalamika kwamba media za sasa tofauti na zamani za sasa zinaandika watawala badala ya zamani zilikuwa zinaibuka kero...sasa ndugu yangu mtu mwenye akili timamu utanunua gazeti linalo report kujipendekeza !!Mkuu hapa unaleta siasa. Issue hapa ni teknolojia na mabadiliko ya kizazi. Unasema nchi zenye demokrasia una subscribe online, maana yake unakiri kuwa print media 'haipo tena'. Social medias zimetatua changamoto kubwa tatu za print media i.e uharaka wa kupata habari, uchujaji na gharama. Pili Tanzania sasa median age ni miaka 18. Maana yake wengi wamezaliwa >2000, hawa ni generation Z. Kizazi cha social medias.
Fursa waliyonayo Print Media ni kujibu changamoto za social medias i.e fake news, uchambuzi wa kina, documentaries na story balancing. Ni mwehu tu, ndiye atanunua gazeti saa 2 asubuhi wakati anasoma headline kwenye front page, habari zake zote anazifahamu siku moja kabla. Print media has to supplement social medias.
Mitandao imechangia kwa kiasi kikubwa mkuu take it or leave it ila huo ndio uhalisia ... Kwa mfano Mimi sasa hivi hata TV sitazami cuz habari zote nazipata online Twitter na hapa jf ... Imagine taarifa ambayo unaipata Leo jioni ndio unayo ipata kesho asubuhi katika magazeti ...so hauoni kwamba wanaosoma magazeti wanakuwa wapo outdatedMitandao sio Sababu tatizo habari wanazoandika zakijinga ndio maana watu wenye akili hawanunui magazeti
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Let's be realistic. Magazeti ni biashara ya kuuza habari, sasa kama mteja tayari anazijua hizo habari, kuna sababu gani ya yeye kununua? Unless kama unauza hadithi na sio habari. Hata western countries ambazo uhuru wa habari ni mkubwa, print media sasa hivi imeathirika sana.The issue here is the contents of newspapers, are they persuading buyres to buy? If the contents base on prising chama dola, I’m not surprised the business is going down.
WALE HAWAWEZI KUFA KURAHISI KWASABABU NDIO WANAOFANYA VIZURI ZAIDI SOKONI KWASASA, NA SIRI KUBWA NI KUTOKUKUBALI TU KUMSIFIA JAMAA FLANI KAMA WENZIE. WALE BADO WANABALANCE HABARI ZAO.Bado wale jamaa wa Tabata Relini, na vile nikutoka kwa macho mekundu, ndo basi kabisa,anawalia timing tu
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Bado happajauma...Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Sasa mbona hawa wa huku hawajiongezi?Huyu social network mnamsingizia tu, kwenye nchi zenye demokrasia una subscribe online newspaper na unalipia miezi sita mbele.
Naomba viendelee kufa na vyombo vingine kwani vyenyewe pamoja na wanahabari wake wamekuwa Wana viombea kifu Kila kukicha na pia kwa usaidizi wa wale wasiopenda habari,kwangu Mimi ni jambo la faraja kwani vyote vilishaooteza maanaKwenye zama hizi unapaswa kuwa mwendawazimu ili ununue gazeti!
wa magazeti afunge tu coz hata masoko sio kama zamani sababu ya uwepo wa mitandaosasa jiulize sababu nini? unazalisha magazeti unauza kidogo na kodi kubwa sijui kama utakubali hata wewe unaweza kukimbia na huyo dangote akimbie tu bila ya sababu maalumu?
Alimariza hii mitano nasema apewe mwingine ya Asante, tunabahati sana kumpata hyu mtu[emoji24]Jeipiem ataware mirere [emoji4]
Hahah kakampuni kavisimentGazeti la nchi gani hili mkuu🤔??
Kama ni tz nini chanzo? Je nini hatima ta mambo haya? Jana Dangote manusura afunge kakiwanda kake ka visiment leo hiki kikampuni☺😐?
Any way mwisho wa siku tutaona nani winner kati ya wanaoiombea shari serikali na sisi wazalendo.
#jr (uvccm - taifa)
You nailed mkuu. Damn right.Jombaa nilikuwa namaanisha huyu jamaa,yaani hakuna atakaenunua gazeti kwenye enzi hizi za kumsifia mtu mmoja