Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Mkuu hadi leo hujapata uteuzi bado naona, kwenye ukuu wa wilaya huko pameshajaa, kwa upande wa ubunge wa kuteuliwa ngoja tuone
 
Endelea kusifu, kutukuza na kupamba ila mwisho wa siku wote tutakuwa wahanga kwa namna moja au nyingine.
 
mkuu labda umenielewa vibaya mimi kama uvccm taifa πŸ€”
 
States ipi hiyo unayozungumzia?! Acha ujinga wewe

The united states wanalipa 40% as tax, if your revenues are above lets say 400K, you pay even much higher! tanzania its only 18% lakini izo kelele mnapiga
 

vijana bana! watu wangap wanafanya biashara Tanzania na biashara ngap zmekufa? yaani unaelezea utadhan wengine hatufanyi biashara dogo! everything iko stable swala la magazeti wala ata wasipachike maneno ya uongo, magazeti yalikua yanaenda kufa toka blogging ianze ilikua ni swla la mda tu
 
Sio hilo tu hata gazeti la Kulikoni nalo limefirisika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…