Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Mkuu hadi leo hujapata uteuzi bado naona, kwenye ukuu wa wilaya huko pameshajaa, kwa upande wa ubunge wa kuteuliwa ngoja tuoneDuh...!. Could it be
Or sababu hiziUchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Wanabodi Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha...www.jamiiforums.com
Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...www.jamiiforums.com
P