Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nitoe 1000 kununua Gazeti? Simu yangu ya kiganjani inanipa kila kitu. Hii Media ya Magazeti ni ya Kizamani. Wajikite kwenye Media kama Radio na TvKampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Sasa wife atafungia nini vitumbua pale sokoni?Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Hawa si wale ambao juzi wakina Halima walivyofukuzwa uanachama heading ikawa "Chadema kwazidi kufukuta" wakati heading ilikuwa wazi kabisa. Watu wengi makini siku hizi tumeacha kabisa kusoma magazeti karibia yoote ya hapa nchini hasa baada kugundua kuwa yanahaririwa Lumumba...hii kitu ilitegemewa saana na bado mengi yatafungwa.Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
========
NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI
KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo Mhariri Mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo.
Kwa hiyo TSNOnline media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Wanaandika UTOPOLO acha kwanza waisome namba.True hiki kizazi cha social network kimeua kabisa soko la magazeti
Makampuni yote ya habari yanapaswa kuja na mabadiliko na kuwekeza nguvu kubwa zaidi katika Platform za mitandao ya kijamii otherwise wataendelea kuangukia pua tu
Hata wewe siwezi kukulaumu,ila waandishi,waandishi,na wanahabari wenyewe wamechimba makaburi ya media, huyo amewahi kuzikwa maziko bado yataendelea, Hadi akili zitakapo wakaa sawa.Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Sema kweli....Wakome kujidai wako kichama zaidi.
UCHUMI wa kati unawaumbueni, biashara zinakufa, hata biashara za Serikali kwishney
Bado wanauza, hasa kwa old generation readers lakina biashara imeshuka sana. Kasome utafiti wa Jane Kiguta 'the effects of social medias on print journalism.Unalijua the daily mail la uingereza?nakala 600000 per day na kule kuna mitandao,nenda usa magazeti yanauza sana
Una hakika ? Au unajisemea tu ?Unalijua the daily mail la uingereza?nakala 600000 per day na kule kuna mitandao,nenda usa magazeti yanauza sana
Mkuu hiki kijigazeti kilisifu na kuabudu sana. Hasa hiki kipindi Cha mpito August mpaka October. Kilidhani kitapewa kajiupendeleo kwenye matangazo.Kama 99.9% ya Media zote za Tanzania zimewekwa Mfukoni mwa Mtu Mmoja na zikimkatalia wananyimwa Matangazo unadhani watajiendeshaje?
You seem to know a thing or two, but the way you present some of your contents leaves a lot to be desired.Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Tuweni wakweli tuwe wakweli hata mwenye uwezo wakupata habari kidigitali hayuko tayari kusoma habari zisizo na maana.Kumbuka sasa hivi kwa mtu ambaye hayuko chuo au shule ni wachache sana wanaosoma vitabu vya kawaida isipokuwa Biblia na vitabu vingine vya dini. Hivyo biashara ya magazeti lazima tu iangukie pua. Huo ndio ukweli mchungu.
Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.